Restaurant nzuri Dar es Salaam

Restaurant nzuri Dar es Salaam

len

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
204
Reaction score
128
Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
 
Best rest... yaitwa Hamu
Ingine nzuri Samaki
 
Ah kudadekii 😆😆😆

Pesa kidogo ameshaanza kula seafood
Mkuu maisha ni pamoja na kufurahi, sio kupigika kila siku tu 😆 😆 😆
 
Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
Mkuu next time usipoteze muda wako kuja kuuliza mambo muhimu hapa jf siku hizi kuna watoto wengi sana ambao wengi wao hata hawajaexperience maisha kiuhalisia wanabakia kutype upuuzi kwenye mambo ya msingi.

Back in the day ilikuwa ni rahisi sana kupata ushauri hapa JF unapokuwa na changamoto yoyote sababu members walikuwa ni watu serious na wanaijitambua na wasiochukulia JF kama kijiwe cha mizaha na porojo za uongo.
 
mkuu you cant be serious can you!?.. back in the day, .. which days do u mean!?.. nmeanza kutumia jf 2013 nkafungua account ya kwanza 2014 2019 ikafungiwa na sasa nna nyingine hii hapa.. since then jf there was always must be someone who was never serious and i fall on that group.. itc just that watu kama mimi sasahvi tumekua wengi, i always think "being matured is to be able to understand anyone, anywhere and whatever else situation mean while knowing when to SHUT UP and when to MIND YOUR OWN business".. i dont mean to offend you pal, but i hope you understand... si kila mtu ni mtoto hapahapa, if you think you are mature enough then i'll double doubt your maturity bro.

enjoy,eat and bite what suits you.
 
Kwa kukusaidia mleta uzi, nenda kwenye google map yako, then search seafood restaurants utaletewa list ya hizo restaurants na pia kwenye comments section utapata reviews na comments za baadhi ya watu waliokwenda na huwa kuna namba za simu za restaurants husika kama unataka kupewa zaidi directions, maelezo au kufanya reservation na bookings.....

So just ingia kwenye app yako ya google map, halafu tazama kwenye list ya zile zile soft keys utaona neno restaurants then utaperuzi list itayoletwa. Na pia waweza search tu neno seafood restaurants pia utaletewa list....ikija nenda kwenye contact then tafuta namba utapewa maelekezo ya kina mkuu.
 
braza unateseka wapi!?.
Unakosea mkuu.... Mnakosea sana mnapokuwa mnaleta mzaha mwenzenu anapouliza jambo serious.

Ndio maana siku hizi watu serious humu jf hawaji sana maana wanaona kuna utoto mwingi.

Back in the day hata ukiwa na shida ya connection ya kazi au mchongo wowote ukija JF ilikuwa ni 90% chance ya kupata mtu au watu serious wa kukusaidia....

Ila miaka hii mnafanya mizaha sana.
 
Back
Top Bottom