Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

amu unalifahamu hili?
Kwahiyo wataka Sema yule binti Kama housegirl Ni mwanae?..makubwa haya
Hili nafikiri wanamsingizia.
Resty kamaliza zanaki O level na kuingia IFM certificate.

Na kumaliza degree.

Sasa yule labda kama alizaa kabla hajasoma Zanaki.

Lakini tukumbuke Zanaki ni shule ya serikali enzi zile ukiingia ni umemaliza direct darasa la saba.
 
Ahsante ndugu mjumbe
 
Hahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah nyie watu muoneeni huruma huyo dada
 
Huo siu uromantic ni ujinga mwanaume hufanyi kazi ni kulamba lips na kubeba pochi, huo sio uanaume. Mwanaume mapicha daily
Si braza wako lakini yule😂 mwache ainjoy economies of scale
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
 
Ahsante ndugu mjumbe
Kwa kweli hili halijafika kamati kuu , kwa hiyo mpk sasa ni uzushi tu na Wivu wa kike
Ahahahhahahahahhaaha pale napowageuka wambea.

Ngoja Waanze kunisuta mimi sasa.
Mana mbea sio mtu, anakugeuka tu fasta.
Inategemea chanzo chake cha uhakika kimemwaminisha nini.
 
Ahsante ndugu mjumbe..😊
 
Kote kote wapo mkuu, sema utanadawazi umezidi na ni adhari kwa jamii yoyote ile, hata wahaya walikua na sifa ya kujiuza lkn haikua na maana kua ni wao tu bali ilifika pahala kila mmoja anatumia ndio kichaka ilhali makabila yote wanajiuza na wengi wao walianzia uhudumu wa bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…