witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Oooh ndo yule namuonaga anamficha ficha kuumbe, afu ni mdada mkubwa tuWatoto watatu sio wawili mkubwa alimzaaga kabla ya sosho midia ila ndo anamuweka nyumanyuma kama HG na saa nyingine anasema sio wake ila ndo first born
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app