Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hata mm nasemaga hapa amesingiziwa. Hapa ni chuki
 
Umekomalia wa kichagaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Wivu tu mkuu, hakuna mwanaume asiependa kua na mke mwenye kipato sema tunaogopa kuzidiwa kipato na mwanamke ikitokea amekuzidi ndio mnaanza kusema ni marioo, lkn angekua huyohuyo ndio anamlimsha bata huyo mwanamke mngesema huyo mchaga atakua tapeli tu, walimwengu hamkosagi cha kusema, hamuamini ktk maisha kila kitu ni mipango,
Kuna mtu analipwa ujira mdogo mara 2 ya wako lkn kula bata humkosi wewe mwenye ujira mkubwa kila siku kulalamika tu.
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Yes. Resty kajiachia tu. Amemzaa lini yule binti kwa umri huo kuwe na siri hivyo? Huyo si wake
 
Maduve maduve hahahahahahahahahahaha
 
Atakuwa kashauona huu Uzi

Huko Kati anawasonya tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji3577]
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Yaani hili wamemsingizia kweupe
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Wamemsingizia.


Yulw ni mtoto anamlea tu.


Hapo ndo napompa big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…