Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hili nafikiri wanamsingizia.
Resty kamaliza zanaki O level na kuingia IFM certificate.

Na kumaliza degree.

Sasa yule labda kama alizaa kabla hajasoma Zanaki.

Lakini tukumbuke Zanaki ni shule ya serikali enzi zile ukiingia ni umemaliza direct darasa la saba.
Hata mm nasemaga hapa amesingiziwa. Hapa ni chuki
 
Ukiendekeza mwanamke especially hawa wanaokuwa na vimiradi na account yenye pesa benki hautaweza kufanya maendeleo yako personal. Wengi wa hawa wanawake anakupa mental retardation uwe retard kiume.

Sasa watoto wa kiume wa kichagga wanapenda sana hii..... Kulelewa wengi ndio maana siku hizi wana maisha ya kindezi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekomalia wa kichagaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Wivu tu mkuu, hakuna mwanaume asiependa kua na mke mwenye kipato sema tunaogopa kuzidiwa kipato na mwanamke ikitokea amekuzidi ndio mnaanza kusema ni marioo, lkn angekua huyohuyo ndio anamlimsha bata huyo mwanamke mngesema huyo mchaga atakua tapeli tu, walimwengu hamkosagi cha kusema, hamuamini ktk maisha kila kitu ni mipango,
Kuna mtu analipwa ujira mdogo mara 2 ya wako lkn kula bata humkosi wewe mwenye ujira mkubwa kila siku kulalamika tu.
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Yes. Resty kajiachia tu. Amemzaa lini yule binti kwa umri huo kuwe na siri hivyo? Huyo si wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I do not want a husband who kisses my black as* every second of the day.
Hata kama hana ajira lakini siyo kila saa ndo nionekane mimi baba mwenye nyumba. Yaan resty ndo anaonekana kamanda wa mjengo of which ndo ilivyo. Sasa uanaume wa mume wangu utakua wapi. Kwanza ningeolewa na mwanaume wa hivyo ningemchapa makofi kila siku[emoji23][emoji23] janaume gani. Hivi wamachame wa kweka ndo mumeamua muruangushe kilimanjaro nzima kweli? Hebu hii Christmas aitwe nyumbani mara moja apewe lesson. Huu ujinga hapaaanaaa. Pooooooh mbakaaaaaaaa.... kumpost public tu hata boyfriend kwangu kazi ndo kila saa awe kaniganda hivi?

Kweka wemanya makofi maduve maduve.
Eheeee mbeeeee. Ni msukwaaaaaa shuhashu[emoji23][emoji23]
Maduve maduve hahahahahahahahahahaha
 
Atakuwa kashauona huu Uzi

Huko Kati anawasonya tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji3577]
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Yaani hili wamemsingizia kweupe
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Wamemsingizia.


Yulw ni mtoto anamlea tu.


Hapo ndo napompa big up.
 
Back
Top Bottom