Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
 
Ndito, upo vizuri.
 
Anatumia jina gan mkuu
 
Ewaaa story za skonga mzee machache naye alipita nae. Maisha ya camera toka yuko shule tuliosoma nae hatushangai Kweli maisha bongo nyoso eti resty kawa motivational speaker.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Imfikie Extrovert kwa kumbukumbu
Hahahhahahqhhaha
 
[emoji16][emoji16]
 
Hahahahah unataka kusema Hana tofauti na UCHEBE[emoji1][emoji14]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] imebidi nicheke kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…