Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Ndito, upo vizuri.
 
Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
Anatumia jina gan mkuu
 
Ewaaa story za skonga mzee machache naye alipita nae. Maisha ya camera toka yuko shule tuliosoma nae hatushangai Kweli maisha bongo nyoso eti resty kawa motivational speaker.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilishangaa siku moja jamaa anarekodiwa yupo kaunta kwenye bar ndo anahudumia watu nadhan wafanyakazi hawakuwepo siku hiyo then rest anasema my love nakupenda sana ,leo tunasaidiana then jamaa anasmile ila ukimuangalia smile lake Ni Kama hakupenda kile kitendo cha kurekodiwa
Imfikie Extrovert kwa kumbukumbu
Hahahhahahqhhaha
 
Shkuba ni shkuba mamangu.

Daslam hii kama hujui habari za shkuba na matunda yake yaliyofungwa mengine Italy na wapi huko aseee ni balaa.

Hawa nyau wametusumbua hawaaaaa.

Sasa huyu resty mradi kaletwa celebrities ,Siku zake ni zinahesabika.

Yan hili jukwaa watu sijui wachawiiiii.

Ukipandishwa tu uzi wa Star, ujue kinamkuta mtu kitu soon
[emoji16][emoji16]
 
Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu

Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao

Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
Hahahahah unataka kusema Hana tofauti na UCHEBE[emoji1][emoji14]
 
Sema mibonge si inawahi kutepeta [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.

Unajikuta unambato 6/7 days in a week ila namuonea huruma mwamba maana siku akichokwa atafedheheshwa sana. Wanawake mnapendaga kweli ila mna ile hali ya kuchokaga mtu mkimzoea sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] imebidi nicheke kwanza
 
Back
Top Bottom