Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba mtu karidhika mwenyewe na mkewe lolTutawakera sana mwaka huu hapa jfView attachment 1655833
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Advocate kashikilia zigo lake
Wachaga oyee
Wale jamaa waliotwangana risasi pale ambrosia kumbe walikua wanamgombea Resty?Hivi unakumbuka Resty aliletaga tafrani Ambrosia mpaka watu wakapigana risai na Mlay akafariki.
Ndito, upo vizuri.Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Ahaaaa Lucy shida mzeeee namjua kasoma tumaini primary kasumbua sana wadau mafundisho parokia ya kaweAlafu hicho kilucy kishort chases cha hatari, nilikiacha kinasumbua sana miaka hiyo sasa hivi sijui kapoje!
Anatumia jina gan mkuuHiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
Hongera Mkuu picha nzuri,huo upaja wa shemeji si haba unafaidi tu.Tutawakera sana mwaka huu hapa jfView attachment 1655833
[emoji16][emoji16][emoji16]Fanya kazi upate kuishi......hapa tunajadili ISSUES hatujadili watu
[emoji16][emoji16][emoji16]Na kupumuliwa!
Mxxxxxxiiiiieee
[emoji16][emoji16][emoji16]Ewaaa story za skonga mzee machache naye alipita nae. Maisha ya camera toka yuko shule tuliosoma nae hatushangai Kweli maisha bongo nyoso eti resty kawa motivational speaker.
Imfikie Extrovert kwa kumbukumbuNilishangaa siku moja jamaa anarekodiwa yupo kaunta kwenye bar ndo anahudumia watu nadhan wafanyakazi hawakuwepo siku hiyo then rest anasema my love nakupenda sana ,leo tunasaidiana then jamaa anasmile ila ukimuangalia smile lake Ni Kama hakupenda kile kitendo cha kurekodiwa
Alikuwa El chapo wa bongoHivi huyo shkuba huwa ni nani?
Ujue siku hzi hawachambani Hadi napitwa
[emoji16][emoji16]Shkuba ni shkuba mamangu.
Daslam hii kama hujui habari za shkuba na matunda yake yaliyofungwa mengine Italy na wapi huko aseee ni balaa.
Hawa nyau wametusumbua hawaaaaa.
Sasa huyu resty mradi kaletwa celebrities ,Siku zake ni zinahesabika.
Yan hili jukwaa watu sijui wachawiiiii.
Ukipandishwa tu uzi wa Star, ujue kinamkuta mtu kitu soon
[emoji16][emoji16] kmmkYule sidhani hata kama kut@mba linajua.
Linakuwa linampapasa tu.
Hahahahah unataka kusema Hana tofauti na UCHEBE[emoji1][emoji14]Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu
Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao
Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
[emoji16][emoji16][emoji16] imebidi nicheke kwanzaSema mibonge si inawahi kutepeta [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.
Unajikuta unambato 6/7 days in a week ila namuonea huruma mwamba maana siku akichokwa atafedheheshwa sana. Wanawake mnapendaga kweli ila mna ile hali ya kuchokaga mtu mkimzoea sana.
Hahaaa kumbe aiseeAlikuwa El chapo wa bongo