Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Nimesoma comment zote ila hii imenichekesha.....
 
Hana picha huyo bi dada? Tupostie picha zake akiwa mtupu tu ama kavaa bikini akiwa mahotelini au Beach.
 
Mkuu umeamua ku'solve equation kabisa.😀
 
Buahaaaahaaaa eti ofisi za CPA zipo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki humu jf[emoji119][emoji119][emoji119]

Duh nanyi malimbukeni kweli! Au sio waswahili nyie? Ningeandika where are your CPA offices ndio mngeelewa zaidi.

Ndio nimeuliza kama yeye na Mrs wake ni CPA, office zao zipo wapi?
 
Mimi nimeshaoa , nina watoto wawili now.nikae niongope napata nini, sitaki hela ya mtu, sitaki mchepuko maana mke wangu mzuri sana tu, nikae niongope ili iweje?

Mwanaume kamili na rijali hawezi na hathutbutu kuleta habari za familia yake kwenye baraza la mtandaoni. Ulivyo na akili fupi umeweza kumtaja 'mkeo', profession na mali. Ningeendelea kukuuliza sijui ungetuma na picha kabisa ili ueleweke kwamba unamjua vizuri Resty?
 
Nimekuelewa boss, enjoy your day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…