Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Xx
Ila Kamanda ana moyo aisee[emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Kamanda ana moyo aisee[emoji2][emoji2]
Nimesoma comment zote ila hii imenichekesha.....Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu
Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao
Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
Hana picha huyo bi dada? Tupostie picha zake akiwa mtupu tu ama kavaa bikini akiwa mahotelini au Beach.Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.
Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.
Jamani huyu ni nani haswa?
Mkuu umeamua ku'solve equation kabisa.😀Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
Buahaaaahaaaa eti ofisi za CPA zipo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki humu jf[emoji119][emoji119][emoji119]
Ofisi za CPA tena?
amu nisaidie
Mimi nimeshaoa , nina watoto wawili now.nikae niongope napata nini, sitaki hela ya mtu, sitaki mchepuko maana mke wangu mzuri sana tu, nikae niongope ili iweje?
Nimekuelewa boss, enjoy your dayMwanaume kamili na rijali hawezi na hathutbutu kuleta habari za familia yake kwenye baraza la mtandaoni. Ulivyo na akili fupi umeweza kumtaja 'mkeo', profession na mali. Nnngeendelea kukuuliza sijui ungetuma na picha kabisa ili uekeweke kwamva unamjua vizuri Resty?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchaga asiejielewa. Unazunguka na "sponsor" 24/7. Karibuni Machame tule kisusio.
Wanapewa details zote haahhaBongo maafisa vipenyo hawana kazi nzito kabisa yani...wanaingia humu na wanatupia ka mada kepesi kasichokuwa na nyama....wadau wanakiwekea steki kazi imeisha😄