Kweli kabisa ni mtafutaji pamoja na madhaifu mengine ya kibinadamu ila anajua kutafuta maana alianza matangazo ya kwenye mabango toka tuko shuleMuhimu pesa...
Huenda angefaulu kwa viwango tofauti na hivyo asingekuwa mpambanaji kama alivyo sasa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Analea Msomi wa digriiKweli kabisa ni mtafutaji pamoja na madhaifu mengine ya kibinadamu ila anajua kutafuta maana alianza matangazo ya kwenye mabango toka tuko shule
Mchaga anatuaibisha!Kijana anakula maisha tu,Hongera kwao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bata Batani!
pisi kaliDada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.
Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.
Jamani huyu ni nani haswa?
Simtankpisi kali
Wabongo wengi WachawiWabongo kwa nn Tunaumia watu wakipendana?
Haaaah 2006 4m 4? Duuh kumbe hata dada angu mkubwa. Yaan alikua anataka 4 tyuuh? Mweeeeh[emoji3][emoji3]Mungu anakuona mweeeh!huyu form four kamaliza 2006 na alikua anasemaga ye anataka four tu hana mpango wa mengine ana kweli kapata four 26 maisha yake yamesonga na yanasonga sana tuKuokokaa....??!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Duuuh afanye mpango abadilike, unajua anaaonekana mkubwa San huyu resty khaaaah.Mipombe na unene tu hana lolote Toto sana hilo wasomjua wanajua kubwa ila sio mkubwa huyo!
Alitaka 4 na kaipata na ana good life kuzidi wenye madigriiHaaaah 2006 4m 4? Duuh kumbe hata dada angu mkubwa. Yaan alikua anataka 4 tyuuh? Mweeeeh
Duuuh afanye mpango abadilike, unajua anaaonekana mkubwa San huyu resty khaaaah.
Mkuu inabidi tukadake viwalo mambo ya kupendeza,Mchaga kajiongeza.Mchaga anatuaibisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuh ila resty jaman khaaah.Mtoto wa 1988 yule sema kaanza ujanja kitambo kaliwa mpk mtungoAlitaka 4 na kaipata na ana good life kuzidi wenye madigrii
Humjui resty weResty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.
Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
mkuu Kwani Kuokoka ni mat.a.ko kila mmoja anayo?SI kaokoka huyu?