Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

pisi kali
 
[emoji3][emoji3]Mungu anakuona mweeeh!huyu form four kamaliza 2006 na alikua anasemaga ye anataka four tu hana mpango wa mengine ana kweli kapata four 26 maisha yake yamesonga na yanasonga sana tuKuokokaa....??!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haaaah 2006 4m 4? Duuh kumbe hata dada angu mkubwa. Yaan alikua anataka 4 tyuuh? Mweeeeh
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.

Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Humjui resty we
HBzO zote cover tu
 
Back
Top Bottom