Royal family
Anamchangamsha kwa nini?Naskia baby daddy wa jela karudi na anamchangamsha ipasavyo...
[emoji849][emoji849][emoji849]Resty park imebomolewa ntakula wapi kitimoto mie[emoji26][emoji26]
kwann mkuu imebomolewa?Resty park imebomolewa ntakula wapi kitimoto mie[emoji26][emoji26]
bei ya turbo 3 ununulie gari? Naamini hiyo gari itakuwa mbovu sana hasa gearbox na mashine yake
Eneo lilikuwa halijamaliziwa malipo..mwenye nalo amelichukuakwann mkuu imebomolewa?
Nani huyo?Naskia baby daddy wa jela karudi na anamchangamsha ipasavyo...
Kwa MangiResty park imebomolewa ntakula wapi kitimoto mie[emoji26][emoji26]
Nikiwaambiaga Honda sio gari mnakazaga ubongo
Sio pakwake anapang'ang'ania...kwann mkuu imebomolewa?
Eeh?Sio pakwake anapang'ang'ania...
Karibu Tangi Bovu kwa Ustaadh JumaResty park imebomolewa ntakula wapi kitimoto mie[emoji26][emoji26]
Sio pakwake anapang'ang'ania...
Hivi mumewe si mwanasheria..hatetei hili jambo?Sio pakwake anapang'ang'ania...
Joshua nielekeze sehemu ya kitimoto safi best[emoji848]Karibu Tangi Bovu kwa Ustaadh Juma
Hivi ni mwanasheria kweli mbona jamaa kazubaa hivo[emoji26]Hivi mumewe si mwanasheria..hatetei hili jambo?
Hivi kamaliza hata form 4 kweli?....naona kama ana akili ndogo[emoji848]Naona anatafuta huruma kwa wana insta