Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Nilisikia yule ni wake Ila kwanini alikuwa ana mu treat ka house gelo, tangu achambwe sikuhizi hamu post tena, Ila yule mtoto mkubwa alimzaa na umri gani maana resty ni wa tisini na yule mtoto ni mkubwa
Naweka taarifa sawa. Rest Yule mtoto mkubwa ni kweli sio Mwanae
 
Hili nafikiri wanamsingizia.
Resty kamaliza zanaki O level na kuingia IFM certificate.

Na kumaliza degree.

Sasa yule labda kama alizaa kabla hajasoma Zanaki.

Lakini tukumbuke Zanaki ni shule ya serikali enzi zile ukiingia ni umemaliza direct darasa la saba.
Rest Yule mtoto mkubwa ni kweli sio Mwanae. Nipo hapa kwa niaba ya familia.
 
Hata mimi kwa kweli hili namtetea.
Labda tumpate mtu alisoma nae primary.
Na kwa kusoma Zanaki means alisoma primary Dar.
Mana zanaki olevel haina bweni.
Anyways sijui.
Niko hapa naomba niulizwe. Rest Yule mtoto mkubwa ni kweli sio Mwanae
 
Nimeitwa na Familia kuja kujibu Maswali yenu. Mtoto Mkubwa sio wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti umeitwa na familia kujibu maswali, halafu ni lini mumewe ataacha kumfata fata resty huko nyuma ka mkia wa mbwa?
Swali la pili huyo kweka ni kweli alifeli law school, pia anazalilisha wanaume wa kichagga na December hii watamuweka kikao
 
Mumewe siku atakayogundua hakuna document yenye Jina lake ataacha kumfata fata mkewe. Kuhusu kufeli Law School ngoja nipitie taarifa vzr
 
Back
Top Bottom