cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaa unaweza jifikiria ulimkosea nini mbona hutoboi kibiashara kumbe behind the scene hatujui tuWana nyota zao tukaoge maji ya Bahari za ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa unaweza jifikiria ulimkosea nini mbona hutoboi kibiashara kumbe behind the scene hatujui tuWana nyota zao tukaoge maji ya Bahari za ulaya
Liumba Tena[emoji44]Sasa unafikiri kuna mwanaume mwenye akili anaweza kuwa na mahusiano na bi dada?
Ndo maana katulizana maana hana pa kwenda.
Mda wake ulishaisha kitambo sasa hivi kuna vitoto vizuri vizuri vinasumbua vimezaliwa kipindi ambacho yeye anatembea na kina Shkuba na Liumba.
Pale wanapolazima kuwa wambea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Buahaaaahaaaa eti ofisi za CPA zipo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki humu jf[emoji119][emoji119][emoji119]
Nilishangaa siku moja jamaa anarekodiwa yupo kaunta kwenye bar ndo anahudumia watu nadhan wafanyakazi hawakuwepo siku hiyo then rest anasema my love nakupenda sana ,leo tunasaidiana then jamaa anasmile ila ukimuangalia smile lake Ni Kama hakupenda kile kitendo cha kurekodiwaNakwambia yuuuule hamna kituuuuuu
Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao
Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
,😀😀😀Kweka hapa mbona mnanisema wakuu?
Ndio yeye mkuu!!Huyu rest wa kawe mzeeee wao mkono wake moja umekatika?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaa, watu na ujuzi wenu.Nakuapia mwanaume anayejua shughuli hawi kama kweka.
Haloooo wale kwa muonekano miondoko na tabia zao za nje tu unajua hapa maji nitaita mma.
Yule sometime hapendi ila sasa hana sauti atafanyeje mwanamke ndo mwamuzi wa kila kitu..inabidi tu akubaliNilishangaa siku moja jamaa anarekodiwa yupo kaunta kwenye bar ndo anahudumia watu nadhan wafanyakazi hawakuwepo siku hiyo then rest anasema my love nakupenda sana ,leo tunasaidiana then jamaa anasmile ila ukimuangalia smile lake Ni Kama hakupenda kile kitendo cha kurekodiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha ya Instagram ni hatari sanaHahaaa unaweza jifikiria ulimkosea nini mbona hutoboi kibiashara kumbe behind the scene hatujui tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watisha mshiki!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I do not want a husband who kisses my black as* every second of the day.
Hata kama hana ajira lakini siyo kila saa ndo nionekane mimi baba mwenye nyumba. Yaan resty ndo anaonekana kamanda wa mjengo of which ndo ilivyo. Sasa uanaume wa mume wangu utakua wapi. Kwanza ningeolewa na mwanaume wa hivyo ningemchapa makofi kila siku[emoji23][emoji23] janaume gani. Hivi wamachame wa kweka ndo mumeamua muruangushe kilimanjaro nzima kweli? Hebu hii Christmas aitwe nyumbani mara moja apewe lesson. Huu ujinga hapaaanaaa. Pooooooh mbakaaaaaaaa.... kumpost public tu hata boyfriend kwangu kazi ndo kila saa awe kaniganda hivi?
Kweka wemanya makofi maduve maduve.
Eheeee mbeeeee. Ni msukwaaaaaa shuhashu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngasuva tikii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watisha mshiki!!
Dah bas nime mkumbuka aseee nili msahau aseee ......mdogo wao wa kiume ana itwa Renatus mwingine ana mfata Rena nae ana matako balaaaa anaitwa Lucy kitu ka Hiko dah way backNdio yeye mkuu!!
Hapana sio byanakuSophia byanaku? Na najma the prince aka lami?
Wasuva na kuni useka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngasuva tikii
Alafu hicho kilucy kishort chases cha hatari, nilikiacha kinasumbua sana miaka hiyo sasa hivi sijui kapoje!Dah bas nime mkumbuka aseee nili msahau aseee ......mdogo wao wa kiume ana itwa Renatus mwingine ana mfata Rena nae ana matako balaaaa anaitwa Lucy kitu ka Hiko dah way back
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Advocate kashikilia zigo lakeTutawakera sana mwaka huu hapa jfView attachment 1655833