Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi calculation za picha
 
Hahahhahahahhahahahahahahahaha
amu uuuuuuuu
Njowooooooo
 
Gwaji Boy aliwahi sema mambo ya kuhuzunisha ni mengi kuliko mambo ya kufurahisha hivyo ukipata moja la kuchekesha basi unalishikiria barabara "

Hivyo tuache watu wale bata zao za kimahaba maana miwasho ya pilipili ndio utamu wake
Mbaya zaidi wanaoona donge ni wanawake kuliko wanaume
 
Imetolewa na kurugenzi ya habari na mawasiliano
Resty house.
 
So far this is my best comment ever exist [emoji3]
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni Nani haswa?
Only In Tanzania
 
Back
Top Bottom