Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.