Kama hilo bata ni jasho lake...namtakia kila lililo jema na kumpongeza. Kila mtu atakula kwa jasho (lake?)
Ingawa kwa miaka yangu michache hapa bongo..ukisikia watu wanakula bata..kuwa makini..kuna mengi yako nyuma ya pazia. Kuna mmoja alikuwa anatwambia anapasua vibubu na kuhamasisha akina dada waweke vibubu..leo hii yupo segerea kwa kujihusisha na unga. wengi wanapenda kuishi fake life ya ujanja ujanja.
Again huyu dada mimi simtuhumu ila naweka angalizo tuu. watu msikate tamaa au kujiona mnafeli Maisha kwa sababu hamna uwezo wa kifedha kama huo. Ishi na ridhika na kile kidogo ulichonacho..huku ukiweka bidii kutafuta kikubwa Zaidi.
Kuna watu wanakula maisha mpaka wewe unajiona bwege..unajiuliza mjini unafanya nini au unafeli wapiā¦...kumbe ukiangalia kwa undani..kuna mengi.