Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ofisi za CPA sio, unajua CPA ni nini haswa?
Ila kinge hiki, acha tu [emoji3][emoji3][emoji3]

Goodness, another foe amazed with CPA offices 🤣🤣🤣,! You are very good in 'kinge' and I know none about CPA, right?

People don't cease to amaze!
 
Yani kapungua Sana yule dada kadhoofu, Mungu amsaidie

Jamaniii si tuliambiwa anatumia diet kupunguza mwili[emoji28][emoji28]
Mpaka anauza garnicia sijui za kupungua
Yule mmewe lazima kampunguza kilo
Mume ana micheps mpaka vinini vya kizungu 🤣🤣🤣🤣🤣ndoa hizi hataree
 
Jamaniii si tuliambiwa anatumia diet kupunguza mwili[emoji28][emoji28]
Mpaka anauza garnicia sijui za kupungua
Yule mmewe lazima kampunguza kilo
Mume ana micheps mpaka vinini vya kizungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndoa hizi hataree
Yule kupungua sio diet ana shida mumewe hashikiki kabisa huyo dada alikunywa Hadi sumu. Hyo ya diet ni kudaganya maboya ya insta wapigwe hela
 
Kama hilo bata ni jasho lake...namtakia kila lililo jema na kumpongeza. Kila mtu atakula kwa jasho (lake?)
Ingawa kwa miaka yangu michache hapa bongo..ukisikia watu wanakula bata..kuwa makini..kuna mengi yako nyuma ya pazia. Kuna mmoja alikuwa anatwambia anapasua vibubu na kuhamasisha akina dada waweke vibubu..leo hii yupo segerea kwa kujihusisha na unga. wengi wanapenda kuishi fake life ya ujanja ujanja.

Again huyu dada mimi simtuhumu ila naweka angalizo tuu. watu msikate tamaa au kujiona mnafeli Maisha kwa sababu hamna uwezo wa kifedha kama huo. Ishi na ridhika na kile kidogo ulichonacho..huku ukiweka bidii kutafuta kikubwa Zaidi.

Kuna watu wanakula maisha mpaka wewe unajiona bwege..unajiuliza mjini unafanya nini au unafeli wapi…...kumbe ukiangalia kwa undani..kuna mengi.
 
Watu wanabar zinauza kreti 20 kwa siku plus chakula ila hawana bata la huyo dada anaemiliki kibar
 
Jamaniii si tuliambiwa anatumia diet kupunguza mwili[emoji28][emoji28]
Mpaka anauza garnicia sijui za kupungua
Yule mmewe lazima kampunguza kilo
Mume ana micheps mpaka vinini vya kizungu 🤣🤣🤣🤣🤣ndoa hizi hataree
Hapa anayeongelewa kupungua ni dada wa rest. Rest mwenyewe naona dawa za kupunguza unene zimemgomea šŸƒšŸƒ anataka kulingana na tank la Lita 2000šŸƒšŸƒšŸ˜…šŸ˜…
 
Hapa anayeongelewa kupungua nindada wa rest. Rest mwenyewe naona dawa za kupunguza unene zimemgomea [emoji125][emoji125] anataka kulingana na tank la Lita 2000[emoji125][emoji125][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa nawaza kwanini resty asitumie dawa za dada yake
Maana amegoma kupungua lol
 
Back
Top Bottom