Result Sports waitaja Simba SC kuwa ya 151 duniani, kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii

Result Sports waitaja Simba SC kuwa ya 151 duniani, kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii

Unaongea kama TAAHIRA.mpaka muda huu Barca kapigwa 2-0 na Valencia bwege wewe. Team gani ambayo haijulikani?imetokea wapi?inafungqa Brazili itakuwa simba.

Jamani acheni porojo za kwenye mitandao. Nyie ndio mnasabaisha hata wachezaji wajione wako zaidi ya Barcelona kumbe safari bado. Timu yenyewe hiyo mnayoisifu kila kukicha mara ina washabiki mara inaweza kuifunga Real Madrid mara ni ya 2 duniani kwa ubora wakati inafungwa na vitimu visivyojulikana.
 
Back
Top Bottom