Jamani acheni porojo za kwenye mitandao. Nyie ndio mnasabaisha hata wachezaji wajione wako zaidi ya Barcelona kumbe safari bado. Timu yenyewe hiyo mnayoisifu kila kukicha mara ina washabiki mara inaweza kuifunga Real Madrid mara ni ya 2 duniani kwa ubora wakati inafungwa na vitimu visivyojulikana.