Pre GE2025 RETREAT YA CHADEMA: Azimieni kuwatetea kundi kubwa la Watumishi wa Umma kuhusu kupandishiwa Mishahara mtanishukuru baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili.

Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda katika kiwango cha kutisha.

Kuna Mishahara ya Watumishi ambayo ukiambiwa utajiuliza huyu mtu anaishije hupati majibu,wakati huo kuna Mshahara wa Mtumishi wa siku 30 ni posho ya siku moja ya Mbunge, Na sasa hivi kuna Tetesi kwamba Wabunge wamejiongezea Mishahara na Posho zao wenyewe.

Kundi hili lina Maumivu makubwa sana Moyoni na halina Mtetezi kwasababu limekandamizwa sana, na kwasababu ya kuathirika kisaikolojia na kupata Matatizo ya Afya ya akili kundi hili limejaa hofu na haliwezi tena kuacha hiyo kazi ya Utumishi, hata haya mambo mnayoona kwamba kati yao wengine wanatumika kuisaidia CCM ni matatizo tu ya kisaikolojia na hofu ila siyo kwamba wanaipenda CCM.

TUCTA ni kama wamecompromise na wanashirikiana na Dola kuingia Madarakani na kuendelea kukandamiza kundi hili kwasababu kiuhalisia wanajua kinachoendelea ila wamechagua kuwa upande wa Serikali.

Kwasababu Kura ya Mtu iko Moyoni nashauri CHADEMA kwenye Retreat waazimie kulitetea kundi hili kwa nguvu zote wachukue hizo Kura za Moyoni waongeze kujenga Chama chao Mioyoni mwa watu baadae watanishukuru.

Povu linaruhusiwa,nimetega Miamvuli ya kutosha.

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Shida si si emu hawategemei kura ya mtu! Isipokuwa lile goli lao pendwa la mkono kupitia polisisiemu na tumesisimu. Na ndiyo maana wanajiamini. Kinyume na hapo, hali ingekuwa ni tete kweli mwaka huu.
 
Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili.

Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda katika kiwango cha kutisha.

Kuna Mishahara ya Watumishi ambayo ukiambiwa utajiuliza huyu mtu anaishije hupati majibu,wakati huo kuna Mshahara wa Mtumishi wa siku 30 ni posho ya siku moja ya Mbunge, Na sasa hivi kuna Tetesi kwamba Wabunge wamejiongezea Mishahara na Posho zao wenyewe.

Kundi hili lina Maumivu makubwa sana Moyoni na halina Mtetezi kwasababu limekandamizwa sana, na kwasababu ya kuathirika kisaikolojia na kupata Matatizo ya Afya ya akili kundi hili limejaa hofu na haliwezi tena kuacha hiyo kazi ya Utumishi, hata haya mambo mnayoona kwamba kati yao wengine wanatumika kuisaidia CCM ni matatizo tu ya kisaikolojia na hofu ila siyo kwamba wanaipenda CCM.

TUCTA ni kama wamecompromise na wanashirikiana na Dola kuingia Madarakani na kuendelea kukandamiza kundi hili kwasababu kiuhalisia wanajua kinachoendelea ila wamechagua kuwa upande wa Serikali.

Kwasababu Kura ya Mtu iko Moyoni nashauri CHADEMA kwenye Retreat waazimie kulitetea kundi hili kwa nguvu zote wachukue hizo Kura za Moyoni waongeze kujenga Chama chao Mioyoni mwa watu baadae watanishukuru.

Povu linaruhusiwa,nimetega Miamvuli ya kutosha.
Nawewe gombea ubunge
 
Kikokotoo hatukitaki
 
Tatizo police hawafanani na police wa Kenya.Mishahara aliharibu Magu
 
Hapo hamna povu ukweli mtupu mtu anafanya kazi miaka 36 analipwa m38, mbunge miaka mitano m300+ siyo haki
 
Heche mke wake ni Mwalimu Nyabulogoya Sekondari hapa Jijini Mwanza. Unafikiri hilo halijui miaka yote hiyo?
 
Ujinga Mtupu, watumishi wapi? wale wanao tumiwaga ba CCM kuvuruga uchaguzi au wengine?

Pia hao watumishi hawana midomo? wamezaliwa ili watetewe? Mbona Kenya au Uganda watumishi wanana fight wenyewe?
 
Kuliko kutetea watumishibwa umma wapumbavu mara 1000 kutea Tembo wasiuwawe,
 
Kupandisha mshahara hakujawahi kuwa suluhisho la kupambana na gharama za maisha. Maana kanda ambayo ilikuwa inalipwa Sh 7,000 kwa mwezi mwaka 1993 sasa hivi inalipwa zaidi ya sh 700,000 kwa mwezi (x100 ya mshahara wa 1993) lakini bado huo mshahara hautoshi kumudu gharama za maisha

Kikubwa serikali ipambane na
1. mfumuko wa bei
2. Iimarishe sh yetu kwa kupunguza importation na kuongeza exportation
3. Tuimarishe sekta ya viwanda na kuboresha mazingira ya uwekezaji
4. Tuimarishe sekta za nishati na usafiri
 
Back
Top Bottom