Return of Manara inaelekea kubuma

Return of Manara inaelekea kubuma

Ile Kauli mbiu ya Utopolo waliyodanganywa danganywa na Msukule wao kuwa Return of Champions walipigwa changa la Macho. Lengo la Mwamba Manara lilikuwa ni kujipa promo yeye Binafsi kwamba he is a Champion.
Anyway Utopolo Maji yamezidi unga, hamtoboi wala hamwendi popote zaidi ya kwenda Kigamboni kuogelea.
WanaMsimbazi njooooni tuanze sherehe maaana Rivers uwezo upooooooo
Manara atakuwa akiwa atamaliza zile press anajifungia ndani anacheka
 
Return ya kurejea kule walipokuzoea. Hii Yanga itampa ugonjwa wa moyo Haji.

Ametoka kwenye furaha kuelekea kwenye presha zaidi.
 
Ile Kauli mbiu ya Utopolo waliyodanganywa danganywa na Msukule wao kuwa Return of Champions walipigwa changa la Macho. Lengo la Mwamba Manara lilikuwa ni kujipa promo yeye Binafsi kwamba he is a Champion.
Anyway Utopolo Maji yamezidi unga, hamtoboi wala hamwendi popote zaidi ya kwenda Kigamboni kuogelea.
WanaMsimbazi njooooni tuanze sherehe maaana Rivers uwezo upooooooo
Kwaiyo wasipoenda popote we unafaidika na nini, unaandika utumbo gani wewe
 
Ile Kauli mbiu ya Utopolo waliyodanganywa danganywa na Msukule wao kuwa Return of Champions walipigwa changa la Macho. Lengo la Mwamba Manara lilikuwa ni kujipa promo yeye Binafsi kwamba he is a Champion.
Anyway Utopolo Maji yamezidi unga, hamtoboi wala hamwendi popote zaidi ya kwenda Kigamboni kuogelea.
WanaMsimbazi njooooni tuanze sherehe maaana Rivers uwezo upooooooo
Yanga ma champion kweli ila tu sio wa kombe hili walilocheza leo,ni wewe umeelewa kikolo iyo kauli mbiu
 
Back
Top Bottom