King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hazina yao kubwa ila Wanasikika Dar tu ndo tatizo.E-FM nao wamezidi, huu ulikuwa wakati wa kuchimba migodi yao, tayari kwa muda wameshatumia ya watu
Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....
upo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.
Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.
Umenena vyema mkuu! Radio ni vipindi na kuongeza frequency...wanatakiwa kuhakikisha wana tengeneza vipindi vizuri visimame kwa mtu yeyote hata kama ataandoka siyo vipindi vitegemee watu fulani!
E-FM wanatakiwa kujifunza kwa Clouds na East Africa maana wao wana wekeza kwenye ubunifu wa vipindi hata mtu akiondoka bado kuna watu watakiendesha kipindi.
Nadhani utakuwa unamaanisha Sebastian Ndege ambae alikuwa na kipindi cha Njiapand?, huyu ni Reuben Ndege anaezungumziwanilijua jamaa aliacha clouds labda kaamua kufanya mambo yake mengine kumbe bado alikua anapenda kutangaza. Cloudz wasipoangalia watapotea.
Umofia kwenu wana JF,
E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji,Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm ncha kali atua E-Fm ,kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni.
Umofia kwenu wana JF,
E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji,Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm ncha kali atua E-Fm ,kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni.
Hivi mmiliki wa hii redio ni nani?
Dj majizo ndo mmiliki
ndo mume wa mobeto ehhhh????? kaumbea kdg usnshushueeeeeeeOk ahsante mkuu