Reuben Ndege (Ncha Kali) atua E-FM

Reuben Ndege (Ncha Kali) atua E-FM

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu wana JF,

E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji. Aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM ncha kali atua E-Fm, kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni..
 
E-FM nao wamezidi, huu ulikuwa wakati wa kuchimba migodi yao, tayari kwa muda wameshatumia ya watu
 
Mbona clouds fm washasanda wameishia kujisifia na utafiti wa epsos..sa sina hakika km huo utafiti hawajajifanyia wenyewe maana mmh
 
nilijua jamaa aliacha clouds labda kaamua kufanya mambo yake mengine kumbe bado alikua anapenda kutangaza. Cloudz wasipoangalia watapotea.
 
Nilikuwa najiuliza jamaa kaenda wapi, kumbe kakimbilia huko, how about his wife Dinna?
 
Ka-redio kenyewe kanaishia Manzese lakini mbwembwe nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi
 
Hakuna kikubwa kama kuvumbua talent mpya badala ya kuiba ready made kila siku.....ni ngumu sana kuwafanya watu kama hawa waji tune kwenye philosophy mpya..... Majey atapata changamoto kubwa kuwaunganisha mastaa aliowachota kuwa kitu kimoja, kuheshimu wadogo, na kufata na kuheshimu falsafa mpya.....Clouds fm wamefanikiwa hili muda mrefu na lazima bila chuki tukubali hili.....
 
upo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.

Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.
 
Mzeeeiiiyaaaaa....!jamaa ni creative sana naamini atawasaidia sana E-Fm kwenye safari yao ya kukua.
 
upo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.

Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.

Umenena vyema mkuu! Radio ni vipindi na kuongeza frequency...wanatakiwa kuhakikisha wana tengeneza vipindi vizuri visimame kwa mtu yeyote hata kama ataandoka siyo vipindi vitegemee watu fulani!

E-FM wanatakiwa kujifunza kwa Clouds na East Africa maana wao wana wekeza kwenye ubunifu wa vipindi hata mtu akiondoka bado kuna watu watakiendesha kipindi.
 
Kweli kabisa.
 
nilijua jamaa aliacha clouds labda kaamua kufanya mambo yake mengine kumbe bado alikua anapenda kutangaza. Cloudz wasipoangalia watapotea.
Nadhani utakuwa unamaanisha Sebastian Ndege ambae alikuwa na kipindi cha Njiapand?, huyu ni Reuben Ndege anaezungumziwa
 
Umofia kwenu wana JF,

E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji,Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm ncha kali atua E-Fm ,kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni.

Hii redio ni ya nani kwani
 
Kila redio station itajijenga kwa uwezo wake, sio kila mtangazaji upendwa kusikilizwa na kila mtu. Pia vipindi vingine uboa wengine na vingine wengine hawaboreki.

Ushindani ni mzuri pia esp kwa nchi yetu wengi waache kuongea porojo, uongo na kujiona wao ndio wawezao kusikilizwa tu.
 
Umofia kwenu wana JF,

E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji,Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm ncha kali atua E-Fm ,kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni.

Hivi mmiliki wa hii redio ni nani?
 
Back
Top Bottom