Rev Masanilo

Rev Masanilo

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wakuu kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kumpongeza mmoja wa somo wangu kwenye fani... Mchungaji, Dr. Kamanda, Chifu, Msomi, Masta na Mchungaji Masanilo

Hatua aliyofikia si ya kubeza hasa ukizingatia kwamba amepitia mengi katika mapambano ya maisha na hasa kwenye kutetea mafanikio ya watanzania... Na muda si mferu nitamuweka sawa na akina Rev Ernesto Che Guevara

Nina imani atashirikiana na wenzake wenye daraja hilo kutumikia vyema wadau hasa kipindi hiki cha kuelekea mapinduzi ya fikra na uchumi chini ya uongozi mpya wa nchi Oct 2010.
 
Pengine hii ndio sababu alipata kura 3 khe khe khe khe ama kweli penye miti hakuna wajenzi. Ati Rev Masanilo huyu kikojozi?
 
Nawapenda wote nuru ya bwana iwaangazie mpate kufahamu iliyokweli. Tupo pamoja kipindi hiki kuelekea uchaguzi, maamuzi yetu yawe sahihi kwenye kibox cha kupigia kura!

amani ya bwana iwatangulie

Rev Masa
 
Masanilo kwahiyo tutambue rasmi umeacha 'kijikoki na Tigo' na kuwaachia wakina Fidel80? halafu kuna yule shori mwenye mgongo mzuri na gauni jekundu nimepata contacts zake sasa itakuwaje nawe umeshakuwa Rev.?
 
Itakuwa ushahamia chadema wewe...hujasema wazi tu...!
 
Nawapenda wote nuru ya bwana iwaangazie mpate kufahamu iliyokweli. Tupo pamoja kipindi hiki kuelekea uchaguzi, maamuzi yetu yawe sahihi kwenye kibox cha kupigia kura!

amani ya bwana iwatangulie

Rev Masa

Dah....Hizo nguvu za kuwa mchungaji umezipata wapi bwana?Ngoja FD8 aje humu
 
OH Alelujah I see the days of Eliyah and Juda nw. Hakika Mungu ametenda miujiza
 
Nawapenda wote nuru ya bwana iwaangazie mpate kufahamu iliyokweli. Tupo pamoja kipindi hiki kuelekea uchaguzi, maamuzi yetu yawe sahihi kwenye kibox cha kupigia kura!

amani ya bwana iwatangulie

Rev Masa

Hebu vaa nguo basi na uache kukojoa ovyo!
 
Rev Masanilo? Am I dreaming au ni hii hangover???:confused2:
 
Nawapenda wote nuru ya bwana iwaangazie mpate kufahamu iliyokweli. Tupo pamoja kipindi hiki kuelekea uchaguzi, maamuzi yetu yawe sahihi kwenye kibox cha kupigia kura!

amani ya bwana iwatangulie

Rev Masa
Mkuu hivi neno Rev linamanisha nini vile?......Ebwana hongera sana.
Kuhusu kura 3; hukuhonga, ndio maana. Ulifanya vizuri mchungaji.....kazana sana, ipo siku utafanikiwa BILA hongo....
 
eeh!......
haya mchungaji
hongera:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Nawapenda wote nuru ya bwana iwaangazie mpate kufahamu iliyokweli. Tupo pamoja kipindi hiki kuelekea uchaguzi, maamuzi yetu yawe sahihi kwenye kibox cha kupigia kura!

amani ya bwana iwatangulie

Rev Masa

Mkuu tuko pamoja kama tIGO na poor customer service... Nitahakikisha natumia kura yangu vizuri sana

Kama bible ilivyo wazi... neno wisdom limetumika mara nyingi kuliko wokovu, hivyo basi natumainia zaidi wisdom kipindi hiki kuliko wanaoulizia avatar
 
Mzee mwenzangu unataka kujiunga Zanzibar Modern Taarab?
 
Masanilo kwahiyo tutambue rasmi umeacha 'kijikoki na Tigo' na kuwaachia wakina Fidel80? halafu kuna yule shori mwenye mgongo mzuri na gauni jekundu nimepata contacts zake sasa itakuwaje nawe umeshakuwa Rev.?

Niko na waumini wangu bwana! unaweza niPM
 
Back
Top Bottom