TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wakuu kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kumpongeza mmoja wa somo wangu kwenye fani... Mchungaji, Dr. Kamanda, Chifu, Msomi, Masta na Mchungaji Masanilo
Hatua aliyofikia si ya kubeza hasa ukizingatia kwamba amepitia mengi katika mapambano ya maisha na hasa kwenye kutetea mafanikio ya watanzania... Na muda si mferu nitamuweka sawa na akina Rev Ernesto Che Guevara
Nina imani atashirikiana na wenzake wenye daraja hilo kutumikia vyema wadau hasa kipindi hiki cha kuelekea mapinduzi ya fikra na uchumi chini ya uongozi mpya wa nchi Oct 2010.