Rev Masanilo

Rev Masanilo

Mshangilie Bwana....

Heavenly Father, I humbly come before You today. I declare that You are good and faithful. I will sing of Your love and mercy. Fill me with Your strength and joy as I worship You.
 
vipi mtumishi sadaka za chenjichenji unapokea au?
mpangalio wa ukaaji kanisani ukoje,makabwela utatusweka nyuma mbele uwaweke wenye kutoa sadaka nono.
nauliza tu mtumishi ili nikija chechi kwako nisijekiuka utaratibu bila kujua ukaniona mpinga jehova bure.
 
Niko zaidi kwenye fungu la kumi! makabwela hawana nafasi katika uflame wa mbingu kwanza wajitakase!
 
Kule kwenye mambo ya kikubwa watu watakosa mchango wako uliotukuka, au Rev utaendelea kumwaga vitu?
 
Nitakuwa napita pita ili wale kondoo waliohamishia majeshi huko niwarejeshe kundini!
 
Rev.Masa, you sound like 'Nabii Tito' vile!
 
Back
Top Bottom