Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ni TAG wale kwa pastor huruma nkone na English yake ya kuungaunga πVCCT nao ni TAG?
Mtoto wa Askofu Mkuu Barnabas Mtokambali si ndio aliyemuoa Mtoto wa Askofu Lazaro mwanzilishi wa T.A.G na kufunga harusi kubwa sana ya kifahari? π€£Migogoro ya maslahi tu
NI kweli TAG na EAGT wapo TISS wengi mno, na ni Walokole ndioKumbe TISS ni walokole!
Architect yule kuhusu kiingereza sijui me namjua kipind tunasoma wote Ardhi UniversityNi TAG wale kwa pastor huruma nkone na English yake ya kuungaunga π
Ana Mahubiri Ya Kutobembeleza MuuminiNakusikitikia utakufa vibaya wewe...!πππ
666 ni mwili wako mwanadamuPesa ndo 666 iliyotabiriwa na imefanikiwa kulivuruga kanisa duniani.
Hahaaaaaa so anamng'oa meno tu bila ganzi.Tena wanawapenda sana, ogopa mtu aliyeshika dini halafu akawa kwenye vyombo vya usalama. Anaona kama vile mambo anayofanya ni sehemu ya Ibada πππ. Akimuona Mdude anaona ni kama shetani lucifer kabisa