Revealed: Government development projects are underfunded

Revealed: Government development projects are underfunded

Ingekuwa ni nchi nyingine. Magufuli angeachia ngazi kama ni mzalendo na kwa afya ya nchi yake. Ila koz ni mr . Siambiliki ngoja tusome number hadi ifike 2020.
2020? Mkuu huyu jamaa atalazimisha kukaa hapo hadi 2025.
 
Na kila mwisho wa mwezi wanasema eti tumekusanya 99% ya lengo.
Sidhani kama hii budget yao itatekelezeka hata kwa 60%

Wamelowa.... wamechoka na roho zao hakuna matumaini mapya ya kukua kwa uchumi...

Ngonjera zao za hadaa sasa zinapuuzwa hata na wajinga wasiojua lolote!!
 
Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?

Ni makusanyo hewa!
Hivi kama wewe Serikali umeamua kubana na kuminya njia zote za watu kufanya biashara na kutengeneza faida, KODI itoke wapi?
Watu wanalalama JPM amekaba mpaka penati, watu watafungaje magoli?

Ushauri wa bure : JPM na Phillip Mpango wajipange wakamwone mzee wa Msoga JK awape semina jinsi yeye aliweza kukusanya kodi ya Mabilioni na aliweza kukidhi mahitaji muhimu kwa asilimia kubwa pamoja na watu kupiga deal!
 
Sidhani kama hii budget yao itatekelezeka hata kwa 60%

Wamelowa.... wamechoka na roho zao hakuna matumaini mapya ya kukua kwa uchumi...

Ngonjera zao za hadaa sasa zinapuuzwa hata na wajinga wasiojua lolote!!
Kama nahodha wetu atakua mnyenyekevu na kukiri kwamba amekosea kwenye strategy yake ya uchumi..na kukubali "kubadilisha gia angani"...pengine bado tuna nafasi ya kuokoa jahazi. Shida ni kwamba sidhani nahodha wetu anao huo unyenyekevu
 
Jamaa hawezi, na hujiona mjuaji sana na hakosei ndo maana kila siku anasema watu wanapiga dili lkn bado tunaona hali inazidi kua mbaya!!
 
Jamani njooni mumtetee Jpm huku!!!!!

Lawama zinamkosesha usingizi.
Msishangae kodi kupandishwa ghafla na noti mpya kuchapwa (50,000 bill)
 
Jamaa hawezi, na hujiona mjuaji sana na hakosei ndo maana kila siku anasema watu wanapiga dili lkn bado tunaona hali inazidi kua mbaya!!
Na hakuna kauli inayoniudhi kama "wanaolalamika ni wapiga dili". Mimi nina kabiashara kangu...wakati wa JK kalikua angalau kanaendelea vizuri...nilikua nimeajiri watu watano....na hata sikuwahi "kupiga dili"...kwanza hizo tenda za serikali sijawahi hata kujaribu. Sasa hivi kabiashara kanapumulia mashine..mfanyakazi kabaki mmoja na hata huyo ana hatari ya kuondoka. Eti na mie mpiga dili?
 
Back
Top Bottom