iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
swali muhimu sana hiliJe,taarifa za TRA za kukusanya na kuvuka malengo ni za kupikwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali muhimu sana hiliJe,taarifa za TRA za kukusanya na kuvuka malengo ni za kupikwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahahaa lumumba ni mabingwa wa kujitekenyaMaskini Lumumba boyz hawataelewa hii lugha, na kesho kama kawaida watakua hewani kumtukuza mtukufu
Kabisa. Uwezo wao wa kifikiria vyanzo vipya vya mapato ndo umefikia hapoCollection of Taxi arrears is almost to its end
usitukane mamba wakati MTO hujavuka , kesho ZAmu yako kufukuzwa kazi ili tubane matumiziNarudia tena Uchumi liwe somo la lazima....Ukisoma uchumi topic ya kwanza kabisa ni Choice and scale of preference....Scarcity and Economic problems.....hakuna hata siku moja utaacha kuwa na economic problems ambazo kutatua lazima ufanye choice hii yote ni kwa sababu wants are unlimited....umeelewa...tatizo wengi mkakimbilia kusoma HKL mnaona mnavyotupa shida kuwaaelewesha...mtaani wanaosema hawapati ajira za ualimu wamesoma HKL/HGK wakati mashuleni walimu wa hayo masomo wamejaa, unakuta shule moja inawalimu wa History 40 wakati wanafunzi ni 200 shule nzima, walimu kama hawa watasota tu mtaan
Mkuu BAK heshima KwakoHiki ndiyo kitu cha kushangaza sana Mkuu. Huyu Majaliwa kakazana kusema uongo hadharani kwamba uchumi wa nchi ni mzuri pamoja na kuwa there is so much evidence out there to show that Tanzani's economy is in very bad shape. Anaendelea kusema uongo kwa faida ya nani? Hivi wanadhani Watanzania wote ni wapu.mbavu tukubali uongo wa hii Serikali wakati hali halisi ya uchumi tunaijua!? Lini wataamua kuwa wakweli kuhusu hali ya uchumi wa nchi yetu!?
Mkuu BAK heshima Kwako
Mimi na wewe sana tunakuta hapa jukwaani, na mirengo yetu iko sawa Kila mara,
Huyu majaaliwa anajua mfalme anataka kusikia mapambio gani, Ndio sababu habadilisha aina ya mapambio kama anavyofanya makonda,
Ila siku zote huwa nasema hapa namba huwa haidanganyi, Muda huwa ni jibu tosha kwa Kila ulaghai, tuombe uzima tu
Je,taarifa za TRA za kukusanya na kuvuka malengo ni za kupikwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Maswali magumu.Kama hazipikwi Mkuu kwanini basi Serikali itoe 387 billion tu(46.9% ya pesa zilizostahili kutolewa) badala ya 824 billion zilizostahili kutolewa tofauti ya 437 billioni? Kwanini wanashindwa kulipa deni la bilioni 100 kwa MSD ili kuondoa upungufu wa madawa muhimu nchini? Kwanini idadi ya waliopata mikopo ya elimu ya juu mwaka huu imepungua sana ukilinganisha na ile ya mwaka wa fedha 2014/2015? Kwanini wanashindwa kuajiri zaidi ya mwaka sasa na pia kuongeza mishahara na kuwapa promotions zao wote wanaostahili kupata promotions Serikalini?
Nchi hii imewekwa rehani...[emoji15]Kama hazipikwi Mkuu kwanini basi Serikali itoe 387 billion tu(46.9% ya pesa zilizostahili kutolewa) badala ya 824 billion zilizostahili kutolewa tofauti ya 437 billioni? Kwanini wanashindwa kulipa deni la bilioni 100 kwa MSD ili kuondoa upungufu wa madawa muhimu nchini? Kwanini idadi ya waliopata mikopo ya elimu ya juu mwaka huu imepungua sana ukilinganisha na ile ya mwaka wa fedha 2014/2015? Kwanini wanashindwa kuajiri zaidi ya mwaka sasa na pia kuongeza mishahara na kuwapa promotions zao wote wanaostahili kupata promotions Serikalini?
Au la wachina wanamiliki sehem kubwa ya serikali,haiwezekani Kwa uchakachuzi huu.Kama hazipikwi Mkuu kwanini basi Serikali itoe 387 billion tu(46.9% ya pesa zilizostahili kutolewa) badala ya 824 billion zilizostahili kutolewa tofauti ya 437 billioni? Kwanini wanashindwa kulipa deni la bilioni 100 kwa MSD ili kuondoa upungufu wa madawa muhimu nchini? Kwanini idadi ya waliopata mikopo ya elimu ya juu mwaka huu imepungua sana ukilinganisha na ile ya mwaka wa fedha 2014/2015? Kwanini wanashindwa kuajiri zaidi ya mwaka sasa na pia kuongeza mishahara na kuwapa promotions zao wote wanaostahili kupata promotions Serikalini?
We're together brother!Sidhani kama ni Pigo sana maana miaka yote tulikuwa tunashauriana wenyewe kwa wenyewe kuwa tusitegemee sana kazi za kuajiliwa... wengine waliweza kujiongezea vipato wakafanikiwa na wengine waliweza hata kuacha kazi zao nzuri na kijukita kwenye issue tofauti... Sasa nadhani ndio tunaelekea hali ngumu na kila hali ngumu imtokeapo mtu ile akili ya asili hufunguka ili aendelee kuishi akili hizo sometimes huwa zinatuma vizuri au vibaya mbaya ni uwizi.. Nchi zilizoendelea zimepita kwenye vipindi hivi matokeo yake wakavumbua njia nyingi za kuwawezesha kuishi kwa maisha ya hali ya juu sana... ila wenzetu walikuwa na elimu sio sisi elimu za kuajiliwa unasomea hiki unaenda kufanyia kazi kingine....
Kwa Nchi kama Yetu am sure tutaabika Sana... Huyu Baba Speed yake kaikosea hesabu so mwishowe Engine itaknock tu maana hatizami kama Oil hamna.... Unakusanya kodi kwa watu wasio na kitu... atatufunga tu ajue kama mimi Load Licence ya Basi langu moja nililolikata kata sitolipa aminia...
Kuhusu Ushauri huyu Baba yetu wa sasa haambiliki na ukiweka Ushauri unashambuliwa na wapambe hii inaonesha wapambe kweli ni Nuksi... Kiufupi nataka Jamaa aumbuke sana kwa aina yake ya kuendesha Nchi... Tushapoteza vyetu vingi hivyo we have nothing to loose wala kuogopa... tumebanwa kila kona... Mikutano,Maandamano,Kwenye vyombo vya Habari... makazini yaani acha tu... Mkombozi wa Tanzania Atatoka Nje ya Tanzania
Kwani tangia baba jesca afike mahali pale Kuna anayesema hali ni mbaya?Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?