Halafu wanaficha...ahahaaa...tatizo looote hili ni zanzibar tuMkuu hii ni hatari sana yaani hata 50% pesa za maendelei hazijafikia?
Hapo ndipo utakumbuka ile cyber crime na uchaguzi Zanzibar ilivyoondoka na pesa za MCC........
Kiukweli ni hatari sana....
Wewe unawaamini hao?Mbona hali iko wazi kabisa kuwa ukweli unafichwa?Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?
2020? Mkuu huyu jamaa atalazimisha kukaa hapo hadi 2025.Ingekuwa ni nchi nyingine. Magufuli angeachia ngazi kama ni mzalendo na kwa afya ya nchi yake. Ila koz ni mr . Siambiliki ngoja tusome number hadi ifike 2020.
Wasamehe tu TRA bure lazima walinde vibarua vyao. Hakuna mwenye ubavu wakumwambia mtukufu ukweli. TRA wenyewe mbona tunakutana nao vijiweni baada ya kazi...pale ndio wanasema ukweli kwamba hakuna cha trillioni wala ndugu yake trillioni....mapato yamedorora.Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?
Na kila mwisho wa mwezi wanasema eti tumekusanya 99% ya lengo.Tulisema tangu awali kuwa huyu dereva hafai tulizomewa....
Sidhani kama hii budget yao itatekelezeka hata kwa 60%Na kila mwisho wa mwezi wanasema eti tumekusanya 99% ya lengo.
Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?
Kama nahodha wetu atakua mnyenyekevu na kukiri kwamba amekosea kwenye strategy yake ya uchumi..na kukubali "kubadilisha gia angani"...pengine bado tuna nafasi ya kuokoa jahazi. Shida ni kwamba sidhani nahodha wetu anao huo unyenyekevuSidhani kama hii budget yao itatekelezeka hata kwa 60%
Wamelowa.... wamechoka na roho zao hakuna matumaini mapya ya kukua kwa uchumi...
Ngonjera zao za hadaa sasa zinapuuzwa hata na wajinga wasiojua lolote!!
Wanasema shetani akikusaidia jambo linapokwana anakuacha ujijue mwenyewe. Anakaa kando anacheeeeka.Kuna mtu atatamani kukimbia ofisi.
Watakao sogea wataomba itafsiriwe just to by timeKwenye habari kama hii huwa hawasogei.
Jamaa hawezi, na hujiona mjuaji sana na hakosei ndo maana kila siku anasema watu wanapiga dili lkn bado tunaona hali inazidi kua mbaya!!Kama nahodha wetu atakua mnyenyekevu na kukiri kwamba amekosea kwenye strategy yake ya uchumi..na kukubali "kubadilisha gia angani"...pengine bado tuna nafasi ya kuokoa jahazi. Shida ni kwamba sidhani nahodha wetu anao huo unyenyekevu
Na hakuna kauli inayoniudhi kama "wanaolalamika ni wapiga dili". Mimi nina kabiashara kangu...wakati wa JK kalikua angalau kanaendelea vizuri...nilikua nimeajiri watu watano....na hata sikuwahi "kupiga dili"...kwanza hizo tenda za serikali sijawahi hata kujaribu. Sasa hivi kabiashara kanapumulia mashine..mfanyakazi kabaki mmoja na hata huyo ana hatari ya kuondoka. Eti na mie mpiga dili?Jamaa hawezi, na hujiona mjuaji sana na hakosei ndo maana kila siku anasema watu wanapiga dili lkn bado tunaona hali inazidi kua mbaya!!
Mkuu hali inatisha sana hasa ktk ngazi za halmashauri,inatia huruma,