Revealed: Government development projects are underfunded

Prime Minister insisted that delayed disbursement of the constituency funds should not be taken as a sign of financial problems. “There are priority areas; but I assure all MPs that the money will be issued in due course.”

Aache uongo na ulaghai wa mchana huyu bwana. When you start prioritizing (fanya hili kwanza na acha hili, japo la muhimu pia) means you are showing signs of financial problems. Kwanza hizo "priority areas" zao ni zipi? Kulipa mishahara kwanza?
 
Reactions: BAK
Hivi
hata hiyo habari umeielewa kweli au unaota kama ndugu yako Lema kwamba uchumi utaanguka....Ngoja nikusaidie kidogo
"the BoT report indicated that the the current account deficit narrowed from $4,910.2 million in the year ending August 2015 compared with $1,912 million in the year ending August 2016. “The improvement was mostly driven by an increase in exports and a fall in imports,” said BoT.

The report indicate that imports decreased by six per cent thus allowing the country to save a lot of its foreign reserves.

“All categories of imports declined, except industrial raw materials. This is partly attributed to an exchange rate appreciation and completion of major projects, such as construction of cement factory, power plants and exploration activities,” reads part of the report."
Ukielewa haya maandishi njoo tena na ujinga wako kwamba uchumi utaanguka
 
TRA wao huvuna malengo kila mwezi based on arrears sasa hawana namna wanarudi enzi za mapato ya JK hope kejeli dhidi ya JK zitakwisha sasa.
Hivi umeelewa hiyo report kweli naona uchumi lingekuwa somo la lazima kuanzia shule ya msingi
 
Kumbe ndo kisa cha kutumbuliwa kwa bodi ya wakusanya ushuru
 
Aache uongo na ulaghai wa mchana huyu bwana. When you start prioritizing (fanya hili kwanza na acha hili, japo la muhimu pia) means you are showing signs of financial problems. Kwanza hizo "priority areas" zao ni zipi? Kulipa mishahara kwanza?
Narudia tena Uchumi liwe somo la lazima....Ukisoma uchumi topic ya kwanza kabisa ni Choice and scale of preference....Scarcity and Economic problems.....hakuna hata siku moja utaacha kuwa na economic problems ambazo kutatua lazima ufanye choice hii yote ni kwa sababu wants are unlimited....umeelewa...tatizo wengi mkakimbilia kusoma HKL mnaona mnavyotupa shida kuwaaelewesha...mtaani wanaosema hawapati ajira za ualimu wamesoma HKL/HGK wakati mashuleni walimu wa hayo masomo wamejaa, unakuta shule moja inawalimu wa History 40 wakati wanafunzi ni 200 shule nzima, walimu kama hawa watasota tu mtaan
 
Then mbn hujachukua maoni ya Wengine? Umechukua ya Mdee na Waitara tuu!! [emoji45] [emoji45]
Vp khusu Kina Kangi Lugola, Ally Kesi, Bashe, Lusinde na nk!??
Hao unaowataja maonibyao ndiyo yapo kwenye budget na mioango inayotekelezwa na ndiyo iliyotufikisha hapa
 
Kwenye habari kama hii huwa hawasogei.
Lugha itawasumbua sana akina Lizaboni, Stroke, Ruttashobolwa, jingalao, Lupyeee, Stroke and the like! Lakini kama wangekuwa wanaielewa hii lugha leo ungewatambua yaani unaleta habari za kichochezi kama hii?
 
Tulishayasema sana haya mambo lakini wenzetu masikio wametia pamba.

So ajabu Rais ukamuuliza hata maana ya different btn Economic growth,na economic development...

Wala asikujibu akabaki kushangaa tu eti ananyoosha nchi.

Let wait and see......
 
Wajue wants and needs pamoja na opportunity cost wakati wa kufanya choice. Ni sawa na kujenga barabara ya Mwenge hadi Morocco unaacha madaraja kule Kilosa Morogoro. Kazi ipo
 
sasa ukweli unaanza kuonekana,waimba mapambio watatwambia tunatokaje hapa,kwa push up au roof ya gari
 
ACHA aendelee kuteua makada, watamsaidia Ku mshughulikia Lema.

RAIS alipopiga marufuku watu kunywa pombe asubuhi alikosea sana ki uchumi.

Pombe na sigara vina mchango mkubwa TRA kuliko HATA madini. RAIS fuata sera ya Mwinyi ya Ruksa, utafanikiwa. Hao wafurukutwa WA CHAMA unao wateua hawana jipya
 


The writting is on the wall; clearly emlazoned on the 12 x 18mtr billboard; DOOMSDAY is looming on the horizon; only time will tell!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…