Revealed: Government development projects are underfunded

Revealed: Government development projects are underfunded

Pesa iliyobanwa si ya semina tu Mkuu. Fungua akili yako ili uweze kuona mbali. Fuatilia habari kwa kina ili uelewe kinachoendelea nchini kwa kina. Mbona yote yanayojiri nchini huwa yanajadiliwa humu ikiwemo ya uchumi kuyumba?
Nimemzungumzia huyo Prof
 
Utajituma kama wateja wako wana purchasing power ya kufanya biashara yako itoke vinginevyo itaishia kuwa DORO tu. Watu wanaogopa hawajui kesho itakuwaje, hawajui kama kesho watakuwa na ajira au la. Inatisha sana Mkuu.

Sasa ndio kila aliyeajiliwa ajitume ipasavyo japo inakatisha Tamaa... Nchi imekuwa kama Ipo Msibani
 
Mkuu kama mapato yameongezeka kwanini watoe less than 50% ya bajeti ya maendeleo? Katika bajeti ya maendeleo ya 824 billion wametoa 387 billion tu na hivyo kuwepo na upungufu wa shilingi 437 billion. Kwanini wanashindwa kulipa deni la MSD la bilioni 100 na kusababisha uhaba mkubwa wa dawa nchini? Kwanini wanashindwa kuajiri na kuongeza mishahara kwa Watanyakazi wa Serikali kwa kisingizio cha uhakiki wa mara hili mara lile uhakiki usiokwisha? Uchumi wa nchi uko DORO mkuu siyo siri sijui kwanini hawataki kuukubali ukweli na kuamua kubadili mueleko haraka sana ili kunusuru uchumi wa nchi. Na huu mradi wa kuhamia Dodoma usitishwe mara moja, kwa sasa hauna tija kabisa kwa Watanzania ukiendelea utazidi kuyumbisha uchumi wa nchi.
Hili la dodoma ni kama limesitishwa kimya kimya. Ukiacha waziri mkuu...mbona kama mawaziri wote wako dar? Binafsi nafahamiana na watumishi wa umma kibao...hakuna hata mmoja aliyeambiwa ahame. Na nimewauliza kama wao wana wenzao waliohamishwa...wanasema hakuna.
 
Pesa iliyobanwa si ya semina tu Mkuu. Fungua akili yako ili uweze kuona mbali. Fuatilia habari kwa kina ili uelewe kinachoendelea nchini kwa kina. Mbona yote yanayojiri nchini huwa yanajadiliwa humu ikiwemo ya uchumi kuyumba?
Huyu jamaa mlaleo kavamia kina kirefu cha maji anachosha watu tu.... uelewa wake ni kama wa wale wala viwavi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
alidhani urais ni kamakuwapelekesha na kuwaamuru makandaras wa tanroads. Sasa anaumbuka!

Ignorance is so bad look now how peoples lives are completely mess up
Mimi naamini ni Mkono wa Mungu maana imeandikwa atendaye dhuluma amelaanika Magufuli anaona giza sauti inakwama hajiamini tena hana sura ya sudi wala furaha amejaa msongo wa mawazo anajuta kuingia na timu dhaifu kuvuruga mfumo wa utumishi kuvuruga nguzo zote za kiuchumi ikiwemo bandari na utalii , kukosana na washirika wa maendeleo awali kabisa akijidai nchi tajiri kudharau wananchi waliomchaguwa kwa kuwaambia maneno ya kejeli nina uhakika yale maono ya Lema yanawaeza timia
 
Huyu jamaa mlaleo kavamia kina kirefu cha maji anachosha watu tu.... uelewa wake ni kama wa wale wala viwavi.
Mkuu kulikoni Tena the problem una mambo mengi, Mimi huwa sina upapara najibu kitu kilichozungumziwa tu sina majibu mia kwa Swali Moja... wewe papara zako kikizungumziwa Chai,Chapati Mihogo wewe unaleta majibu ya Revolver... you better stick with me nitakufundisha kurespond properly... la sivyo utakuwa mtu wa kupanic kwa mara
 
Mimi naamini ni Mkono wa Mungu maana imeandikwa atendaye dhuluma amelaanika Magufuli anaona giza sauti inakwama hajiamini tena hana sura ya sudi wala furaha amejaa msongo wa mawazo anajuta kuingia na timu dhaifu kuvuruga mfumo wa utumishi kuvuruga nguzo zote za kiuchumi ikiwemo bandari na utalii , kukosana na washirika wa maendeleo awali kabisa akijidai nchi tajiri kudharau wananchi waliomchaguwa kwa kuwaambia maneno ya kejeli nina uhakika yale maono ya Lema yanawaeza timia
Vipi Wahaya wana maoni gani na huyu Jamaa... maana Wahaya wa huku Kwetu wanamchukia Kuliko Maelezo...

Aliwaambia Polisi wawe wakali hadi tuwaogope... hapo akaweka mpaka kati yetu na wao...
 
Haha jamaa dakika 2 tuuu anatempa... povu jingi anapewa kidonge ale akimaliza hotuba!!

Ana stress sana, mbaya zaidi anasoma criticism za humu mitandaoni ndo anakua hoi zaidi... sasa anajitahidi kukomoa wale wanaombeza hapo kishapoteza dira....
 
Vipi Wahaya wana maoni gani na huyu Jamaa... maana Wahaya wa huku Kwetu wanamchukia Kuliko Maelezo...

Aliwaambia Polisi wawe wakali hadi tuwaogope... hapo akaweka mpaka kati yetu na wao...
watanzania wote wana hasira naye kuliko maelezo na hili la kuiba rambirambi za wahanga wa tetemeko na kujilipa mishahara na watu wake hii ndio limezidisha hasira
 
Haha jamaa dakika 2 tuuu anatempa... povu jingi anapewa kidonge ale akimaliza hotuba!!

Ana stress sana, mbaya zaidi anasoma criticism za humu mitandaoni ndo anakua hoi zaidi... sasa anajitahidi kukomoa wale wanaombeza hapo kishapoteza dira....
Kama anasoma ni vizuri labda itamsaidia kujuwa picha halisi na kusaidia wananchi
 
Niliwai kuja na post humu yenye Title " MAGUFULI STOP MILKING THE COW IF YOU CANT FEED IT" moods wakafuta.
Pole sana Mkuu pengine angeisoma ungekuwa umeokoa sana Watanzania waliokata Tamaa
 
Kama anasoma ni vizuri labda itamsaidia kujuwa picha halisi na kusaidia wananchi
Kama ulimsikia siku ile wakati anazindua pangaboi zake alisema watu walimkosoa mitandaoni mpaka akaanza kujihisi kweli kakosea na kujiuliza kakosea wapi.... nikaonna ghafla tena ataagiza nyingine tatu ooh waliosema hazina mwendo atamlipia mmoja nauli akae mbele mara anatamani malaika washuke wafunge social networks!!

Jamaa anaonesha dhahiri kuchanganyikiwa na kupoteza dira!
 
Mkuu wabongo huwezi kuwafananisha na wakongo au wakenya....wenzetu wako tayari hata kumwaga damu ili haki itendeke. Sisi huku tumedumazwa ("wapenda amani"). Sehemu kama dodoma huko ambapo wanapataga njaa mpaka kula viwavi...lakini wakati wa uchaguzi wakipewa khanga na t-shirt za kijani basi kura zao zote zinaenda huko.

Anyway...usemavyo ni kweli..yetu macho...tuombeane uhai tu.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Uchochez huo ndugu[emoji40] [emoji40]
 
Saa zingine matamshi yao nadhani ni kwa sababu ya headline za magazetini tu lakini sio uhalisia; mwaka jana budget ilikuwa na deficit ya over 30% to what was actually met. Ata kama ingekuwa kweli wanaongeza mapato kipindi hiki sanasana uwezo wao ulikuwa ule ule tu wa 22tr/sh; lakini kwa akili zao wao na sababu wazijuazo wenyewe wanapanga mipango ya 29tr/sh sio kwamba ni ndoto kutokana na hakuna vyanzo vya ukusanyi bali kuna matumizi ya kujialumulia ya raisi ambayo hayakuwa kwenye budget kama haya mambo ya ndege.

Wala hakuna jipya zaidi ya hadithi za abunuwasi na kukata tawi alilokalia its a matter of time before the inevitable.
 
Membe alisema Tanzania sio kisiwa, bila shaka alikuwa anatuma ujumbe muhimu sana. Na akashangaa kuwa ilikuwaje ukafutwa uchaguzi wote Zanzibar! Hivi sasa yanatukuta...

Simbachawene alionyesha kushtuka sana kusikia fedha zote za serikali zinarudishwa BoT hadi akahoji "nani ametoa maagizo hayo? hapana amekosea". Huyu ni waziri na anaonekana kutokuwa na taarifa za jambo zito kama hili! Sasa mtu unajiuliza hii serikali inaendeshwaje? Maamuzi makubwa yanafikiwaje? Ni kweli ni one man show?
 
Meanwhile, the BoT report indicated that the the current account deficit narrowed from $4,910.2 million in the year ending August 2015 compared with $1,912 million in the year ending August 2016. “The improvement was mostly driven by an increase in exports and a fall in imports,” said BoT.

The report indicate that imports decreased by six per cent thus allowing the country to save a lot of its foreign reserves.

“All categories of imports declined, except industrial raw materials. This is partly attributed to an exchange rate appreciation and completion of major projects, such as construction of cement factory, power plants and exploration activities,” reads part of the report.

SOURCE: THE CITIZEN

wasichotaka wengi mjue ni:-
1. Industrial import imeongezeka kwa sababu ya vuwanda vipya vya cement dangote, rhino, sungura and so on

2. kuungua kw aimport sio sifa, ni dalili kuwa watu hawana hela za kuagiza vitu au wateja wa kununua ivyo vya kuagiza hakuna na hili lina weza kupimwa na mapato ya Tra hasa kwenye vat and incom tax kwa vyovyote yameshuka sana.

3. kwa sasa wanaponea kwenye madeni ya kodi na mwezi huu wamekoma sana na Motor vihicle registration watu wamekula fine mpaka wanataka kulia.

swali kwao je wakimaliza hili watatoa wapi kodi?
 
Back
Top Bottom