Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Chaaaa!!!!
 
Haaaaaaa alafu inaonesha dem anauza c uliona aliliwa kwa 70 na tigo ikatakwa kwa 100
Na jamaa anasema amechoka side A anaitaji side B [emoji16] [emoji16] ...alafu wewe ndo unajiandaa kupeleka posa ..[emoji21] [emoji21] [emoji21] Mungu atupe roho ya uvumilivu sisi wanaume
 
Ntakukumbusha Koroe Korie toka Japan, uje na mavitu ya Hirishima na Nahasaki, Lipua baba
 
Bora afanye atoe nyongo yake tu mwilini
 
Duh huyo jamaa ana mtongozo mnyoofu mpaka nimependa
 
Ungekua diwan au mbunge usingeleta stori za naaamua kuacha hukuu ili kuunga mkono upande flan we ungeoambana mwanzo mwisho,kamvue nguo hadharan na ukimaliza mbake na mgoni wako dadenyooooo zao
 
Unaweza kuita D Day. Sijui kama bidada anajua siku ambayo anaweza kuanguka na kupoteza faham
Itakuwa black sunday kwa bi dada na ndugu zake. hii siku hakika hata karanga hazitalika. Muimba kwaya anaombwa taigo anajibu kimasihara yaani eti "tutaangalia"[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]the end is approaching, nyambaafu.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!wooooooooooooooooooo!!shemeji Koroe usifanye hivyo shemeji yangu tushajiandaa kukupokea shemeji...maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We ni mbabe wa kivita. Ingawaje hutaki ushauri, si vibaya ukiangalia imekaaje kisheria.
 
Naunga mkono hoja.....daaaah asipojinyonga huyo sijuuuuuui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…