Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waleNatamani ningekuwa huyo binti,halafu niwe nimepata hii plan yako hapa. Ningekupiga bonge la suprise hadi ungejiona mjinga
Wamefanya nini?Wale wale
WaumizajiWamefanya nini?
Sijawahi umiza mtu,ila mtu anapojipanga kukuanza mmalize.Waumizaji
Ashasema hatak ushaur.Huu ndo uanaume we jamaa kagombee ubunge
noma aiseee haahahaa duuuhhh Jamaa anamoyo wachuma yuko strong ile mbayaHuu ndo uanaume we jamaa kagombee ubunge
Poa brohMkwara mbuzi tu huo.
duuuhhh hebu funguka mkuu nasisi tupate kujifnza hapaKaka yangu alishawahi kufanya hivi siku ya harusi yake....[emoji26][emoji22][emoji26][emoji22][emoji22]
Ilikuwa mbaya sanaaaa,sitaki hata kukumbuka kabisaaaa....
Inaonesha umeumizwa sana uko nyumaJamii ndo sisi nami nasema mnyooshwe tu teh
kabisa mkuuHaaaaaaa alafu inaonesha dem anauza c uliona aliliwa kwa 70 na tigo ikatakwa kwa 100
hahaaa duuuuhh kwahio amle Nyama au ???Umbembeleze mwanamke anayekucheat na unampa kilicho ndani ya uwezo wako..... mbona unayotaka kumfanyia madogo baba.
hahaaa duuuuhh kwahio amle Nyama au ???Umbembeleze mwanamke anayekucheat na unampa kilicho ndani ya uwezo wako..... mbona unayotaka kumfanyia madogo baba.
duuuuhh noma aiseeee kweli kuna watu wanaweza visasi mamaee..huyo binti ajiandalie makazi kuzimu kabisa aiseeeeUnaweza kuita D Day. Sijui kama bidada anajua siku ambayo anaweza kuanguka na kupoteza faham
hahaaa..wewe Jamaa nimchochezi aiseeeee..ati tarehe 22 nini ..???Ila mwana Ni kweli ulikuwa una muhudumia shemeji?!! Maana kuliwa kwa 70,000 ni dharau ujue na mtandao pendwa atoe kwa 100,000.
Najua umeleta hapa ili tukufariji sasa wanaume ambao wanatenda wasemayo huwa hawapo hivyo, wewe ungesubiri Jan ufanye tukio halafu ndio uje hapa kutuelezea.
Kwahiyo Tarehe 22 shemeji anaenda kuliwa mtandao pendwa [emoji23]