Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

poa mkuu tunasubiri mrejesho, ila angalia sana asije kupiga kipapai
 
Waumizaji
Sijawahi umiza mtu,ila mtu anapojipanga kukuanza mmalize.
Kwanini mleta mada anataka kuumiza binti na watu wake wa karibu? Kwanini asimalizane na huyo binti tu kimyakimya mpaka atake kuhusisha na familia nzima?
 
Hahahahahahaha mkuu mm nilimvunjia mtu ndoa kwa style inayofanana na yako

Hakuna mtu anapenda ujinga

Nenda mkuu nenda lkn kumbuka party two lije na mapicha picha
 
wewe Jamaa noma Jamaa wewe nimangi nini ??
duuuhh au watokea Mara aiseeeee hilo sinema sio la sayari hii mamaeeeeee lazima wakutambue
ujinga ujinga hautaki
rejesha heshima yetu yakiume aiseeeeee
duuuuhh kama namuona hivi nahao ndugu zao dadeq
 
Nasubiria part two Jan 7 au 8 hv, na popcorn zangu pembeni [emoji23][emoji23]
 
Ila mwana Ni kweli ulikuwa una muhudumia shemeji?!! Maana kuliwa kwa 70,000 ni dharau ujue na mtandao pendwa atoe kwa 100,000.

Najua umeleta hapa ili tukufariji sasa wanaume ambao wanatenda wasemayo huwa hawapo hivyo, wewe ungesubiri Jan ufanye tukio halafu ndio uje hapa kutuelezea.

Kwahiyo Tarehe 22 shemeji anaenda kuliwa mtandao pendwa [emoji23]
hahaaa..wewe Jamaa nimchochezi aiseeeee..ati tarehe 22 nini ..???
 
Back
Top Bottom