Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Nianze kukubaliana na wewe kuwa swala la kupiga hiyo mbwa nalisapoti mnoo angekupa ngoma mbwa huyo,hilo aikushauri maana msimamo huo tunapaswa tukupe ubunge,ushauri wangu ni usiumize wasiohusika sasa mashangazi,wajomba maumivu utayowapA wamekukosea nini,wewe pangilia kila kitu siku ya kwenda ingia wasap mtumie ushahidi wote kisha tulia nduguze hawataumia watajua umeahilisha ila yeye itamsaidia kupungua sio chini ya kilo 30 ndani ya week kisha agiza bia mbili ukitafakar kiwanda gani uanzishe
 
Mmmh ni wewe kweli au umeandikiwa?I wish nikuone wanawake wa design hii ni almost hawapo cku hz,jamaa akikaza buti kakubeba
 
Ahadi ni deni cc tunapanga na Mwenyezi Mungu anapanga pia tuombe uzima tu mkuu,
 
Mwenye hasira hana maisha maisha marefu
 
NOTED kwenye calendar.

Mkuu ungetupa na venue na muda kabisa....
 
Bahati mbaya sina machozi ya kumlilia mwanamke... never
Hahahahahah eti never wakati hapo upo unaumia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nisiwe mnafiki aisee huyo mdada anastahili revenge hiyo

Katika wanawake nisiowaamini na sitaki ukaribu nao basi ni hawa walokole au wafia dini wengi wao ni ovyo ovyo hawafai ni wanafiki na wazandiki saana

Go ahead mkuu

Wanaume wa jf mmefurahi sana leo eti wewe ndo dume kwahiyo nyie ni magume gume au????
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mrejeshewe uanaume wenu kupitia revenge ya mwanaume mwenzenu mnatia kinyaa wanaume vidole juu aisee
 
Sasa kama unajua hautaki ushauri umeweka thread hapa ili iweje? Au ndo unataka tukusaidie kukupatia namba za wapiga picha waje siku ya tukio!

Tunasubiria part 2 tujue kilitokea kitu gani but be very careful

Happy new year in advance
Kwani wote wanaoweka habari hapa ni kwaajili ya kuomba ushauri?

Wengine wanaleta Maoni.

Wengine wanaleta taarifa rasmi na isiyo rasmi.

Wengine wanaleta mzaha.

Wengine wanaleta mrejesho.

Kama huyu baada ya taarifa hii nategemea atatuletea na Mrejesho pia.


Wabillah Tawfiq,
 
Pole sana mapenzi ndivyo yalivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…