Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Brother brother.... Kisasi???

Kwanini asimuache tuu kiroho safi?
Eli yupo sahihi namuunga mkono aisee

Usipoweza kusamehe lipa kisasi kisa cha kuishi na magonjwa msongo wa mawazo nyongo ivurugike mwishowe upate stroke hapana roho kutulia ni kulipa kisasi tunaeza tofautian aina za ulipaji maana kuna ishu niliifanya mi sikujua ni kisasi lkn baada ya kufanya vile nilijihisi kutua mzigo kifuani
 
Kama unampenda kweli mkomoe huyo jamaa sio demu wanawake ni wadhaifu panga fumanizi then umkomeshe huyo jamaa pia msaidie dada wa watu asiharibiwe na huyo jamaa

Mapenzi mabaya kupenda kubaya sana najua unafanya hivyo ila pia hilo jambo litakuuma sio mchezo utatamani usingefanya hivyo
Ahangaike na Mwanaume yanini?

Si alishamuonya sanaa huyu mwanamke?

Kwani ana malengo na mwanaume au mwanamke?

Kuhangaika kumfumania anayetembea na mkeo ni UPUMBAVU sembuse na demu wako?

Utawafumania wangapi?

Huna shughuli zingine za kufanya?
 
Yani ingekua mim sidhani hata kama ningesubiri mpaka tarehe 7 hio...anyways mkuu wew mwaga mboga tu.
Revenge is a dish best served cold.
 
Mkuu baada ya Tarehe 7 uje kutupa mshindonyuma!
 
imeshuka mnooo mkuu siwaona tunavyochanagnywa changanywa kama mafungu ya nyanya ya dyna'
yaani MTU anahudumiwa anapewa kila kitu lakini wapi sasa sidharau hizo
bora afanyiwe bonge sila action iliiwe fundisho kwa madada wote wenye Tania kama hizo
hata mwanaume anayechukua mke wamtu inapotokea akafumaniwa nakuliwa 0714 kisha akatangazwa mitandaoni .... Huwa inawapa hofu wanaume wengine wakware kuacha ama kupunguza hizo tabia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nini usijipambanue wewe kujirudishia heshima ya uanaume wako kuliko kusubiri revenge ya mwanaume mwenzio kuanza kushadadia unatia aibu kinyama
 
Uliwezaje kupata password? Hapo nahisi pana ukakasi ni rahisi kupitia account kwa kutumia simu yake pamoja na hivyo ni vigumu kuzipata labda kama alizinote mahali jambo ambalo kwa watu wa leo sidhani
Hahaha...swali fikirishi....!

Sijui alimlazimisha atoe passwords zote?

Na kama ni hivyo mbona hajatueleza hapa?

Si chai hii?

Da...de...di....[emoji12]
 
[emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]Huyo na boya mwenziwe risasi mjomba acha kupoteza muda poti...! Mura tatwiyambe mbane..
 
Nitunge stori napata nini humu, we mshikaji vipi..
Suala sio kutunga stori ama kutuletea story ya kweli humu.

Suala ni kwamba ukishindwa kuyafanya hayo yote baada ya aidha kulainishwa na mwanamke ama kwasababu yoyote ile ya msingi au lah (any circumstances) sisi tutakuona hata wewe ni Ngumbaru koko tu na shosti.

Utakuwa umetuletea mboyoyo na usumbufu wa fikra zetu.

Ulete feedback hapa na matokeo yake kama ulivyoleta bandiko hili.

Tuna uzoefu na watu wapaniaji wa mambo.

..x....x....x.....x.....x....x....x....x....x..
 
Hasira hasara, hicho unachotaka kukifanya ni ushamba na utoto. Hivi umejiuliza kwanini anafikiria kuwa na mahusiano na mtu mwingine wakati wewe upo? Pamoja na kwamba umeshatangaza na ndoa kabisa!? Ni kwasababu wewe hutoshi, lazima una mapungufu ambayo inabidi aende akayatafute mahali pengine. Huyu si mkeo, hivyo haukupi wewe mamlaka ya kummiliki na kumlipizia kisasi, kama umeshindwa achana naye, tafuta mwingine!

Huyu sio mkeo, umemkuta binti tayari ana maisha yake, wewe hujapewa hati miliki ya kuwa naye yeye milele, kama unampenda na ungependa kuwa naye, zungumza naye kwamba kama kuna nafasi kati yenu kuendelea na mahusiano basi ajirekebishe ili mfungue ukurasa mpya wa maisha na msahau yaliyopita. Na kama bado huwezi kumeza ukweli, basi achana naye, kubali matokeo, kulipiza kisasi haina maana, haitakusaidia na mwisho wa siku atakayeumia ni wewe tu.

Jitazame wewe maana ndiye mwenye tatizo na wala sio huyo mwenzako
 
Mapenzi ya kibongo usiwekeze moyo wako utajuta, Wekeza nywele Na kucha hata vikikatika vitaota tena.
Tumia akili kuishi Na mwanamke usitumie moyo
Unaujua uchungu wa kung'olewa kucha bila ganzi mkuu au nyele kwa kipande cha chupa?
Usiombe yakakukuta.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mrejeshewe uanaume wenu kupitia revenge ya mwanaume mwenzenu mnatia kinyaa wanaume vidole juu aisee
hahaaa
jinga kabisa .mimi bado sijafikwa nahizo drama aise nakama zilinifika haikuwa kwa mwanamke ambaye ninampango wakumuoa
then ngoja nikwambie kitu binaadamu tunatofautiana sisi wengine CV zetu zamahusiano nimbaya tangu tujue kuwa dunia haina usawa ktk mapenzi tuliamua kuwa watu wa pichu mwanzo mwisho tunawabadilisha nakuwachagua kama menu ukinizingua maringo mengi nakuacha tu atakuja mwingine so nyoyo zetu zimekufa ganzi sasa naanzaje kumpenda MTU kiasi hcho mpaka nitamani kumfanyia madrama yote hayo tena mtu mwenyew nidemu tu ambaye sina mipango nae zaidi ya ngono tu Mara nyingi wanaoumizwa nakupelekea kuchukua hatua hizo niwale ambao huwa niwaaminifu mnoo ktk relation zao wao hawanaga mipango yakando wakipewa mambo nakudanganywa kidogo wanakufa kabisa
mimi huo ujinga sinaga aisee kwanza huwa siamini kuwa mwanamke niliyenaye eti anaweza kuwa hana bf mwingine huwa sitaki kabisa hizo imani zakilokole

kwanza sikuhizi kati yakundi La wanawake 10 bhasi tambua kuwa 6 wanatoa 0713 naakija kwako kama wewe siomtumiaji wahizo mambo ukiwa nae kwenye game ukikosea tukuingiza ukaingiza nyuma anaruka hatari atajifnya kukumind ile mbaya
wewe kwakuwa niboya hujui kitu unaona daahh demu sindio huyu sasa hahaaaa kumbe anakuletea drama tu kunawajanja wanamla 0713 bila hata yakuomba
 
Umetoka nje kabisa ya nilichokiandika

Ngoja tusubiri tarehe 7 mrejeshewe hadhi yenu ya kiume mliyoipoteza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so sad
 
Eli yupo sahihi namuunga mkono aisee

Usipoweza kusamehe lipa kisasi kisa cha kuishi na magonjwa msongo wa mawazo nyongo ivurugike mwishowe upate stroke hapana roho kutulia ni kulipa kisasi tunaeza tofautian aina za ulipaji maana kuna ishu niliifanya mi sikujua ni kisasi lkn baada ya kufanya vile nilijihisi kutua mzigo kifuani
kapeace ni shetani tuuu ndio anasababisha ufikirie kulipa kisasi. Then unafaidika na nini after there? Kwanini usishukuru Mungu kwa kukupa taarifa mapema.

Kuna watu yalisha tutokea, tena unalipa hata ada ya chuo mtoto asome mwisho wa siku unaambulia shida ya moyo.

Inapasa tusamehe, then God will offer the the best for us.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nini usijipambanue wewe kujirudishia heshima ya uanaume wako kuliko kusubiri revenge ya mwanaume mwenzio kuanza kushadadia unatia aibu kinyama
Hahaa aseme heshima yake imeshuka apambane kuirudisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Goma likigeuka ukaitwa mwizi na kuteremshiwa wewe kichapo usisite kutueleza pia..
 
Back
Top Bottom