Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Asee mkuu umeongea point sana kuna watu huwa hatuwezi kuwa na umiliki wa mtu zaidi ya mmoja.unampa mtu moyo wako Halafu anacheza nao kwa kudhani amekuwin.ukigundua na kuhakikisha bila chenge revenge is the best answer.kunywa soda kwa mangi hapo nakuja kulipa aisee
 
Andika wosia wako maana segerea itakuhusu au Binti atakufanyia kitu mbaya mara dufu ya unachopanga kumfanyia.

Japo utafanikiwa kwa siku hiyo ila na wewe atakufanyizia tu.

Karma ni mbwa.
Mmh usijudge kwa kuangalia upande mmoja mkuu huyu ni mhanga mpe ushauri utakao mpa relief na kumuepusha na adha ya huko segerea.vaa viatu vyake
 
Unajua ufanyeje, print hizo picha afu tia ktk bahasha mtume mshenga siku hiyo ya kupeleka barua, ila ka kilo kao usisau katupie humohumo
 
Mmh usijudge kwa kuangalia upande mmoja mkuu huyu ni mhanga mpe ushauri utakao mpa relief na kumuepusha na adha ya huko segerea.vaa viatu vyake

Mkuu,
Kijana wako, alikataa kabisa kuwa hataki ushauri bali ataleta mrejesho baada ya revenge hiyo 7/1/2018.
 
Hujakubali kujichubguza kujua chanzo cha tatizo. Umekuwa mbinafsi kujiona unatimiza kila kitu. Unadhan mwananke ni pesa na sex tuu?? Ndio unakua umemuweza???
Jitathmini
Sumbai kumbe upo? Niliona jana unatajwa tajwa kule kwamba ww ndio mr smart hahahhaha.
 
ONLY REAL MEN DO THIS. Safi sana mkuu, hawa watu si wa kuhurumia kabisa. Kamfanye utakavyo nitagharamia consequences zikitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…