Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Kiongoz pima moyo wako uujue usije andaa maumivu mara mbili baadaye we ndo ulishindwa kumuandaa ili ummiliki peke yako labda una kauzembe flan kalikomchepua uyo demu ila pia usimfanyie uo upuuz utamuandalia mazingira magumu unayoweza kuja kuyajutia tena baadaye. Samahan nimekushaur japo hupendag kushauriwa
 
Asee....
 
Watu wa aina hii mara nyingi ni wadhaifu sana japo kwa nje wanaonekana wakakamavu. Hawana uwezo wa kuhimili kukosolewa, kuumizwa au kufanyiwa jambo lolote kinyume na matarajio yao. Sasa ukiangalia dunia huwa inaenda kinyume na matarajio ili upambane kupata unachokitaka. Mara nyingi watu kama mleta mada hujiua au kupoteza ramani kutokana na kuelekeza nguvu nyingi kwenye kitu ambacho hakimuongezei hatua moja mbele. Sasa hivi sijui hata kama anawaza kitu kingine zaidi ya kisasi. Dunia haisimami ndugu. Komboa wakti.
 
Wahi ulipe mkuu
 
Kaka yangu alishawahi kufanya hivi siku ya harusi yake....[emoji26][emoji22][emoji26][emoji22][emoji22]
Ilikuwa mbaya sanaaaa,sitaki hata kukumbuka kabisaaaa....
Tupe japo kwa kifupi, tupeane ujuzi wanaume. Mimi nimewahi chat na Mme mwenza ktumia simu ya demu wangu, nikamwita getho night nikijifanya nimesafiri. Akaja, akafungua mlango na kuongoza chumbani kumbe niko ya mlango, nikamfuata nyuma hadi chumbani. Nilichomfanyia hatasahau katika maisha yake.
 
[emoji23] vijana wa siku hizi wanaita unyama unyamani
 
ukitoa mrejesho naomba unitag mkuu itapendeza sana.
 
Na sifikir kama atafanikiwa coz muhusika akisoma ujumbe huu au mtu yyt wa karibu yake lzm amtonye tu.Hii ingekua siri na mwisho angekuja kumwaga series nzima.Haka ka episode tayar kanaenda kuzima next episode.

Kweli kabisa
 
Hahahah Sumbai umenianza na mm eeeh? Ngoja nipige yowe la kuomba msaada.
Yaani wewe....! Unajua vile nakupendaga tangu siku nyingi sema nashindwa kusema tuu.

Sijui lini nitasema.
 
Yaani wewe....! Unajua vile nakupendaga tangu siku nyingi sema nashindwa kusema tuu.

Sijui lini nitasema.
Heee bora uendelee kubaki kimya kimya kwanza maana humu tushapewa tahadhali.
 
Hahaha...ni pale yatakapotimia maneno haya "muosha huoshwa"..tunasubiri mrejesho!
 
Siredi bila picha sawa na nasingi..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aisee kila kukicha jf inaingiliwa majambozi ya kuchekesha maana hilil nalo ni la kuchekesha ngoja tufurahi akina sie furahia ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…