Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Tayari unaonesha una tamaa na magari.....nyambafu kabisa.
 
Tayari unaonesha una tamaa na magari.....nyambafu kabisa.
Sehem gani nilipotaja nina taka Gari? Au kwa kuwa nimesema nakutana nao kwenye lift? Lifi nilimaanisha ya kupanda gorofani.

Wacha wivu dogo nipende Gari nisipende Gari inakuhusu nini?

Mbona Gari ni ishu ndogo umeishikilia bango?? Kwenye magari hawana Maneno ya kejeri kama yako. Kama VIP na wewe nunua

Mwisho, wacha tu niwe na tamaa ya Gari kwa sababu hata wanaume wanakuja kwangu wote wana magari.
 
Kwa taarifa yako mimi ndo nilikutongoza kwa ID tofauti na hii nikakugonga na nilikuona tu ulivyoshobokea gari langu. Una bahati unayajua mahaba vinginevyo ningekuaibisha mie.....
 
Kama Namuona Vile asee cjui Itakuwaje Maana Huyo Manzi Namjua. Na Bi mkubwa Wake Kafika Jana From Aru'. Ni Kazuri Kapole flani Na Mtu Wa Chozi Dakika 0 . Let's Wait Kama Jamaa Atatii Kiapo Chake
 
Kwa mwendo huo utalipiza sana visasi. Mwanafa aliwahi kusema "ukitaka wako peke yako basi tengeneza wako"
Alimaanisha ni vigumu kumpata mwaminifu 100%. Ukimpata unaweza kukuta huna hisia nae au ana dosari nyingine ya kukuboa.
Kwa kuwa umesema hutaki ushauri basi endelea kujitaabisha. Watu ka nyinyi huishia kujiua au kuuwa.
Hakuna binadamu anayeweza kuishi bila kushauriwa.
 
Kwa taarifa yako mimi ndo nilikutongoza kwa ID tofauti na hii nikakugonga na nilikuona tu ulivyoshobokea gari langu. Una bahati unayajua mahaba vinginevyo ningekuaibisha mie.....
haha kubali tu lift ulidhani ni ya gari..usikurupuke next time
 
KOROE ,

Hey, its two days to time for a revenge to take off.

Boy, remember this,,,, Karma is a Dog.
 
Kwa taarifa yako mimi ndo nilikutongoza kwa ID tofauti na hii nikakugonga na nilikuona tu ulivyoshobokea gari langu. Una bahati unayajua mahaba vinginevyo ningekuaibisha mie.....
Sijawahi kumruhusu MTU yeye p hata kupeana no wacha ujinga wewe ujikute uko na mm? Yaan hata uje na I'd mpya nakupa makavu huko pm na mchezo unaisha.

Nina bf wangu ananitosha wote wanaoingia pm wananijua sipendagi ujinga mm. Niko muwazi

Kama ulimgonga Dada yako sawa. Una tafuta attention?? Yatakushinda sijawahi kuwasiliana na wahun mkama wewe nje ya pm. Tuheshimiane hunijui sikujui.

Tulia na stress zako za maisha achana na mm, na sio lazima ucoment kwenye comments zangu
 
Kademu kakijinyonga u will regret, hiyo dhambi utawakimbia ndugu zako wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…