Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Wewe jamaa Mimi Nina roho ngumu. Na wanawake wapuuzi siwapendi hata akiwa mama yangu mzazi. Ila hii yako sio roho ngumu Ni roho hatari. Na sio mfano wa kuigwa [emoji23][emoji23]

Kuwafanyia jeuri Hadi wazazi huo Ni ungese. Maana Kama kumdharirisha ulisha fanya ila ulicho kuwa unataka Ni kumuua kabisa.

Na naamini hata Kama alikukosea kwa ulicho mfanyia umezidisha na utalipwa na wewe
 
Mkuu we kabila gani eti?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Una roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
 
Unaolewa lini dada.?
 
Amefanya vema wanaume wote tukubaliane kufanya hivi msitufanye maboya
 
Nikiwa mkubwa nataka niwe na msimamo kama wewe bro.

Ume ni inspire, wewe unafaa kuwa 'rolimodo'.
 
Wewe ndio shujaa wa afrika sio jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…