Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Hongera sana mkuu hatimaye imefika tamati [emoji122]

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
We utakuwa umemzaa shetani tena ni mtoto wako wa mwisho ambaye hajarithi kabisa tabia zako
 
Aisee!

Hii inaitwa ngumu kumeza!
 
Daah uyu jamaa ana roho ngumu mno.
Kisasi gani hicho kisichoisha ulipomuaibisha kwao ilikua imetosha kabisa.

Sa tatizo pia lipo kwa huyo manzi hajui kuacha mtu aende upendo gani huo, au wewe ndo ulimbikiri, yani unamwambia humtaki bado anakuganda namna iyo.
 
Noma Sana mzee,,kikubwa wamejifunzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…