Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada amesema yeye haoni shida kuwa responsible kwa kitakachom backfire. ..hata kufa ye anaona fresh tu.
Ndio kaamua njia yake ya kisasi na ameridhika swaafi kabisa....ndio maana hakutaka maushauri yenu[emoji3]
Easy!!
Atabeba yeye mzigo huo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli amesema hivyo,lakini huyo mwanamke anaweza kulipa kisasi kwa namna yoyote ikiwepo hata kumdhuru mwanamke wa mtoa mada ili na yeye akose.
Huoni kama hayo madhara yanaweza wafikia hata wale wasiokuwa na hatia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa atabeba lakini unadhani hasara itakuwa ya nani?Atabeba yeye mzigo huo.
Yakwake...si mzigo wake huo!
ulitaka amuachaje kwa mfanoMkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.
Tunachosema sisi ni namna uliyomuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini anayedhurika ndiye anayekula hasara, kumbuka hilo.Yakwake...si mzigo wake huo!
He will accept anything at any cost.
Muhimu karidhika
wapi kamdharilisha?Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.
Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.
Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti,
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuacha kwa maana ya kutoendelea naye kimahusiano na bila kwenda kumdharirisha kwao.ulitaka amuachaje kwa mfano
Yeah yaani wanawake wa kileo wahudumie kimtindo tu siyo mibajeti kibao matokeo yake kichwa kinakuuma tuMkuu mwanamke hata umpe dunia nzima kamwe usitegemee hata kuja kugongwa nje yani hawa viumbe sio kabisaa… KUMUAMINI MWANAMKE NI UPUMBAVU maana unajua kabisa ipo siku atakutoa machozi.
Aisee!!wapi kamdharilisha?
Ndio... akifa mke mpya jamaa yupo tayari kufanywa lolote. usichoelewa hapo nini?
Hiyo inaitwa collateral damage mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli amesema hivyo,lakini huyo mwanamke anaweza kulipa kisasi kwa namna yoyote ikiwepo hata kumdhuru mwanamke wa mtoa mada ili na yeye akose.
Huoni kama hayo madhara yanaweza wafikia hata wale wasiokuwa na hatia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kama mke mpya anadhulumiwa nafsi yake?Ndio... akifa mke mpya jamaa yupo tayari kufanywa lolote. usichoelewa hapo nini?
He will be fully responsible for anything. ndio maana yake hiyo.
Atalipa mumewe.
Sawa,Atalipa mumewe.
Kazi ya malipo sio kurudisha uhai...hilo hujui hadi leo?!
ulitaka autoe wapi you're innocent until you're proven guiltyAisee!!
Hujaona namna ameenda kwao huyo mwanamke , akakusanya ndugu jamaa na marafiki wa mwanamke na kutoa ule upuuzi wote alioufanya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo kumbe unajua si kurudisha uhai!Kazi ya malipo sio kurudisha uhai...hilo hujui hadi leo?!