Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.

Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.

Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti?
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ya kumpa ujumbe ambao utamuelewesha bi Dada kiwango cha kosa lake na jamii kwa ujumla.
Maana kama binadamu unaweza kujua kufanya kitu fulani ni kosa, lakini ikiwepo adhabu ndio binadamu wengine hujiepusha na kutenda hayo makosa.
 
Ili akome.
 
Aisee [emoji119]
Mimi naamini tabia ya mtu ni kama ngozi,hata umtishe vipi,akiamua kuifanya ataifanya tu!
Ni yeye mwenyewe aamue tu kutoifanya.

Kama ni mkristo wa kweli kama alivyosema pale juu kwamba ni mlokole!angejitahidi asifanye kabisa hayo madhambi maana hata sirini Mungu anaona,.. pumzi yetu ni taa ya Mungu ,inapeleleza yote yansyoendelea.

Kwahiyo sidhani kama kama hiyo ni dawa ya kufundisha jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kama hapo umemkomoa halafu wewe pia umejitafutia matatizo!
Maana ungeweza kumuacha tu pasi na kumdharirisha vile kwa watu...
Umemuacha kwa style hiyo,huoni kama anaweza kufanya lolote ikiwa ni pamoja na kumdhuru mwanamke wako wa Sasa au utakayekuwa naye baadaye ili wote wakose.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita vita haina shida hii
 
Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Naona tatizo lipo hapa.
Mkuu wangu siku nyingine jitahidi kufwata hii kanuni[emoji116]

9. Epuka kumhonga mchumba vitu vya thamani kubwa, kumsomesha nk.
Usiwekeze Sana kwa mchumba. Lakini Kama unadhani uchumba ukivunjika hutaumia mpe ila Kama unaona uchumba ukivunjika utaumia usimpe.

Simaanishi wachumba wasisaidiane, kuna viwango vya kusaidiana wachumba. Mengine hayo ukitaka kuyafanya weka ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimesoma story yako mwanzo hadi mwisho...You got my thumb....Mtu unaempenda kwa dhati akikuzingua hakuna kurudi nyuma..We jamaa ni kama mimi, huwa nipo loyal sana kwa mtu wangu, huwa sio shabiki wa polygamism...Ila nikihisi kuna vitu visivyoeleweka huwa nachukua time zangu..Kingine huyo mbullu hakufai maana hana mapenzi ya kweli ana tamaa..Ukijaribu kuwa nae utakuwa umeanzisha vita kubwa ambayo hutaweza kuimaliza na pengine utaijutia maisha yako yote...

Kingine, kwanini alitunga uongo mbaya kiasi kile? kwamba umepata ajali upo india? Kwanini hakusema hata upo USA umepata kazi huko na hautarudi nchini kwa mda mrefu?...Kuna watu wanautafuta uzima ila nyinyi huo uzima mnaugeuza kuwa maradhi ili tu kufanikisha malengo yenu...Nimeumia sana mkuu...Uongo siku zote ni mbaya ila huu uongo wa ajali ni mbaya zaidi...Piga magoti tubu kwa mola...Maana maneno huumba.
 
Hakika
Huu uongo wa ajali ni mbaya..sijui kwanini watu wanajaribu kudanganyia kwenye ajali,ajali ni mbaya Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh mmmmmh mhhhhhhh
Aisee we jamaa nimekunyoshea mikono aisee
Yaani Kuna mtu alikua anajiita jiwe lakini nimegundua alikua mkate tu

Yaani wewe na ndugu Iblis bin shetan mnafanana viburi aisee yaani unakomaa na msimamo kiasi kwamba huogopi Jehanamu na kuona Kama ninkitisho mbuzi tu
Anyway huo ni mfano tu

Huo ndio maana halisi ya uanaume Sasa daaaaa!
😂😂😂😂
 
Tabia ya mtu ni kama ngozi.. huwezi kubadilisha.
Lakini anyway,,,kila mtu ana namna yake ya kutatua matatizo.
Lakini hii naona Kama baadaye inaweza mletea matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada amesema yeye haoni shida kuwa responsible kwa kitakachom backfire. ..hata kufa ye anaona fresh tu.
Ndio kaamua njia yake ya kisasi na ameridhika swaafi kabisa....ndio maana hakutaka maushauri yenu[emoji3]
Easy!!
 
Back
Top Bottom