Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ukijumuisha wanawake wote humo unakosea.Mkuu mwanamke hata umpe dunia nzima kamwe usitegemee hata kuja kugongwa nje yani hawa viumbe sio kabisaa… KUMUAMINI MWANAMKE NI UPUMBAVU maana unajua kabisa ipo siku atakutoa machozi.
Wewe jumuisha wa kwako na wa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app