Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Vichwa vya watu wengi ni kuhisi kwamba namna binti huyu alivyoachiwa amefanywa vibaya, yaani Uibe, upatikane ushahidi na vielelezo kisha vyote hivyo viwekwe wazi, Useme alieweka wazi amekosea?? wakati anaulizwa mbele ya wazee wake na kadamnasi ya mashangazi sijui wajomba alivyokuwa anakataa?? Je hilo nalo ni somo lakuhitaji Masters kuwa Huyu Binti ni mSaliti na Muongo?? Yaani unakana huku ukiweka collabo na Jina la Mungu Mara Yesu bila kujua unapalilia makaa ya mawe. Huwezi kufanya mambo yale yale kwa njia zile zile utegemee majibu Tofauti. Me nadhani majibu aliyokuwa anayatafuta ndio aliyoyapata tena alistahili vema kabisa. Kila unachokifanya kina Gharama yake (Everything you do has its price). Siku zote anayeanza haonekani Mbaya bali anayemaliza. Wakati mtoa maada anaelezea visa vya huyu binti naona wengi walikuwa wanasahau, ila wanakumbuka Namna jamaa alivyo Backfire madhila, dharau, usaliti na uongo woote wa Huyu binti. Hapo ndipo wamepakumbuka tu.

Wakati Mahusiano yanaanzishwa Binti aliepewa alert kabisa, kama ngoma ilikuwa nzito ilibidi tu akae Pembeni ya Mchezo kuliko Kupotezea muda mtu. Unapendwa, unajaliwa, unathaminiwa, unapatiwa Heshima na vigezo vyote kama Mke still unarandaranda, Hii naiita "DHARAU" na dawa ya Hii ni Kiburi. Ukiwa mtu wa kutafuta shari basi jua Malipo yako yatakuwa shari tu.

Nadhani Pigo alilopata huyu Binti ni Funzo ktk Maisha yake, na ninaona Kama Haikutosha kabisa, Ilibdi dozi iwe nzito kuliko hii, Nadhani Alitakiwa atumike kama Extreme Bad Example. So wakati anaendelea kujiskia Vibaya asidhani hafai, Anapaswa kutambua Anafaa kuendelea kutumika kama Mfano mbaya kwa wengine.
 
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue jamaa alikuwa na screenshots zote tayari.

Na kama angeendelea kubisha basi wangembana huyo binti atoe simu waingie huko fb waone kweli kama lisemwalo ni kweli.
Jamaa naye sio mjinga,na kumbuka alikuwa amejipanga..binti hajajipanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa kweli Niko tofauti naona sawa tu!yaani sina uwezo wa kufanya hvyo ila ningeweza kuna mbwa zingelimia menooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zimngelimia meno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi dini yangu inanifundisha kutolipiza kisasi,kwa kumuheshimu Mungu siwezi lipa kisasi ila machungu yangu huwa hayapiti bure.,Mungu anajua kulipa jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inakuwa ni nyumbani na sio mahakamani..kitendo cha jamaa tu kuwa confident na anachofanya wazazi wataona kuna kitu hapa..ukatae utajua mwenyewe ila ndo hivyo huolewi na yeye tena.
Umepata moto ukahisi mi ndo naongelewa na mtoa uzi@koroe njoo huku mwambie wa kwenye story sio mimi🤣🤣
 
Nakwambia mi ningejitetea ila nisingekiri huo uovu mbele ya wazazi
Wanakwambia there is always a way out,
 
Haki ya Mungu kuna mbwa angeita maji mma alichonitenda sina hamu aseehh!huyu mwamba nimemkubali 100%
Dini zote zinapenda msamaha but sometimes msamaha kwio sanaa na ni udhaifu if you do me,I do you!!!

Nshasema kwa sasa ukinitenda nakutenda labda km sikupendi!!!
 
Safi sana, Dance according to the tune.
 
Mimi siwezi lipa kisasi aisee...sijui lakini,labda bado sijapitia maumivu makali bado.

Sisi Kuna sehemu inasema Hekima ya Mungu kwa wanadamu ni upumbavu.
Ukishatafakari hilo Neno utaona kweli watu watakuona mjinga,hata wewe unaweza kujiona mjinga kwa kutolipa kisasi..lakini hiyo ndiyo hekima ya Mungu..huna budi kuifuata.

Ni nani huyo alikutenda dada yangu jamani??

Ila mm huwa nasema ukiona hunipendi ni Bora usije kabisa maishani mwangu..ukija maishani mwangu nikakupenda,nikakuingiza nafsini halafu wewe ukanitenda aiseee,!maumivu ni makali Sana na machozi yatakuwa mengi,ila nitamwambia Mungu atete na wewe ..na Mungu ni mwaminifu sana lazima anafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilicho Ndani ya Uwezo wako Usimwachie Mungu, Tekeleza kwa Akili zako zote, Nguvu zako zote.
 
Tena kuliwa tigo mbele ya wazazi ndugu jamaa na marafiki ...hapana wee bora tu hyo aibu ingawa inaumaaa mnooo
Sema binti alizingua mno aisee.
Nachukia sana usaliti..
Kuna watu tunaotafuta wanaume waaminifu na hatuwapati ila kuna watu wanachezea shilingi kwenye tundu la choo.

Lakini adhabu aliyompa anaona ni kubwa mno.
Kuachana naye tu ilikuwa adhabu tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa ila ndo ilivyo wengi wanaopendwa hawapendeki ujue!!!
Huyo demu acha asage menoo!mi sina huruma na usaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…