Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Kwa kula sio issue sana, apige apite vile.Huyo dem nae mnafki tu, kama anamsaliti rafk yke wa kila cku na wa miaka yote hyo unategemea nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kula sio issue sana, apige apite vile.Huyo dem nae mnafki tu, kama anamsaliti rafk yke wa kila cku na wa miaka yote hyo unategemea nn
We dada kiukweli kwa muda mchache nloona comments zako humu nachelea kusemaUkisema mwalimu wetu ni shetani unakosea.
Wewe sema mkeo na binti ya Jamaa mwalimu wao ni shetani.
Wanawake waaminifu tupo/wapo.
Tuhadithie kidogo mkuu.
Sawa mkuu nashukuru kama umeona ana michepuko ungepiga kimya tu au ungemuonesha hizo sms mkiwa wawili kwan siku mnatongozana wazaz walikuwepo hadi uwaonyeshe hizo sema umewakuta hao walokole tu wazaz wangu wasumbuke kwa sababu ya utoto nisinge kuacha hata msata kwa mshana Jr ningeenda kama kihuni ningeshindwa tena usije kurudia uhuni huu utakuta familia zingine zimevurugwa kuliko wwCockroach... possibly upo below 20 years,
Wewe ni Cockroach?Sawa mkuu nashukuru kama umeona ana michepuko ungepiga kimya tu au ungemuonesha hizo sms mkiwa wawili kwan siku mnatongozana wazaz walikuwepo hadi uwaonyeshe hizo sema umewakuta hao walokole tu wazaz wangu wasumbuke kwa sababu ya utoto nisinge kuacha hata msata kwa mshana Jr ningeenda kama kihuni ningeshindwa tena usije kurudia uhuni huu utakuta familia zingine zimevurugwa kuliko ww
We dada kiukweli kwa muda mchache nloona comments zako humu nachelea kusema
Mwanaume ataekuoa lazima akubali kucheza mdundo wako la sivyo ndoa haitadumu.
Kingine ni vema awe kabila lako.
Huo ni utashi wa mtoa madaSawasawa boss.
Lakini mimi kwa imani yangu naona kulipa kisasi si vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, we ni katili. Ivi ingekuwa ndo unafanyiwa ww ungejisikiaje?. Inaelekea ww ni mtu wa visasi na mzito wa kusamehe mtu. Usiwe ivyo na ivunje iyo roho.TUENDELEE...
Nikaona mambo yasiwe mengi, nikamwambia poa aende akamrudishe rafiki yake kwenye ndoa yake and mimi nitamfkiria kuhusu ombi lake, nilishajua tayari ashakuwa dhaifu kwangu so hawezi kunizid maujanja, hata km anasema uongo bado hauwez kuniathiri maana lazima nimzid akili, kwanza ananipenda kimapenz hivyo tayari yupo kwenye ugonjwa wa akili hawezi kushindana namimi mwenye akili timamu, and nikapanga kabisa kwamba siwezi kuwa naye yule manzi.
Akaenda akamdanganya kwamba nimepata ajali na nina hali mbaya nimekimbizwa India, na kwa jinsi hali ilivyo sijui km nikipona nitabaki na uwezo wa kufanya chochote Kwahiyo akamwambia rafiki yake akakomae tu na ndoa yake, na akaishi na yule mwanaume maana kwangu tena maji yameshamwagika, binti akaona hakuna jinsi akarudi kwa mume wake, jamaa ndo hivyo akampokea maana ndo km anakopatia ridhiki, nasikia kumbe kipindi anakuja huku alikuwa tayari kanasa ujauzito wa mshikaji, ndo huyu rafiki yake akawa ananiambia alikuja kugundua baadaye km ni mjamzito means km mimi ningejichangnya kuwa naye kipind hiki basi ningetupiwa hilo zigo kumbe la mume wake huko.
Japo binti hana amani kwenye ndoa ile so dizain km anapanga mbinu amtoroke aende akaishi maisha yake peke yake. Huyu rafiki yake akaniambia yupo kwenye process ya kutoa ile mimba maana hataki kuzaa na mshkaji wake, then apotee kokote akaishi mwenyewe. By the way hainuhusu hiyo sasa, azae asizae, aishi au aondole anajua yeye.
Maisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.
Nimepata aman sana na sikumbuki ubaya na maumivu yote aliyonitendea yule binti, nimeridhika kwa hiki.
Yapo mambo mengine nimeyaexclude maana stori ingekuwa ndefu sana, ahsanten kwa kunifuatilia tangu mwaka 2017 hadi leo 2021.
MWISHO,
Nionyeshe ambapo nimejiona nipo sawa na mwanaume kwenye kila kitu.Huo ni utashi wa mtoa mada
Ila nimeongelea hulka yako ya kujiona uko sawa na mwanaume kila kitu kasoro vikojoleo.
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Hebu mfikirie huyu jomba piaView attachment 1788756
Huu ni utahiraHebu mfikirie huyu jomba piaView attachment 1788756
Poa MissNionyeshe ambapo nimejiona nipo sawa na mwanaume kwenye kila kitu.
Imani yangu haijanifundisha hivyo...
Ila kwa upande wa dhambi nitakemea bila kujali nani ameifanya.
Siwezi kusapoti uovu mkuu,iwe amefanya mwanaume ama mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mvivu kuingia international forum,Naomba unitag huko Chief.Poa Miss
Twenzetu jukwaa la kimataifa tukasome habari za Gaza
Bado tunasoma ushenzi wa kishenzi aliofanyiwa mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mkimaliza twendeni kwenye tunda kimasihara....naona wadau wote mko huku.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hii imenikumvusha stori mbili za wadau wajf za muda mrefu kidogo
1.kuna mwamba alioa binti ,binti akapata nyumba za urithi ,akaanza piga mishe zake chini kwa chini bila kumshirikisha mwamba matokeo wahuni wakamwotea binti wakambaka na kumlawiti...baada ya hilo tukio jamaa akaanza taratibu za talka...kimbembe kikawa watu wakawa wanafosi jamaa amrudie binti na jamaa akakazaa..jamii nzima ikamwona jamaa katili sana
2.kuna mwamba alisalitiwa na binti aliemsomesha chuo,akamtafutia na kazi jamaa wakawa wanamlia kisela [emoji23][emoji23]..aliposhtuka alipanga kisasi, yeye alimpa binti tour yakuzunguka mbuga nyingi za tz .walipokua huko akamconvise wafanye kinyume na maumbile mwezi mzima [emoji23][emoji23]..ile wanarudi kabla binti hajaingia ndani mwamba akamfungashia kila kilicho chake nakumchana yote binti alikua anamfanyia..
Anaezikumbuka izo thread anitag wajameni