Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Ukisema mwalimu wetu ni shetani unakosea.
Wewe sema mkeo na binti ya Jamaa mwalimu wao ni shetani.

Wanawake waaminifu tupo/wapo.

Tuhadithie kidogo mkuu.
We dada kiukweli kwa muda mchache nloona comments zako humu nachelea kusema
Mwanaume ataekuoa lazima akubali kucheza mdundo wako la sivyo ndoa haitadumu.

Kingine ni vema awe kabila lako.
 
Cockroach... possibly upo below 20 years,
Sawa mkuu nashukuru kama umeona ana michepuko ungepiga kimya tu au ungemuonesha hizo sms mkiwa wawili kwan siku mnatongozana wazaz walikuwepo hadi uwaonyeshe hizo sema umewakuta hao walokole tu wazaz wangu wasumbuke kwa sababu ya utoto nisinge kuacha hata msata kwa mshana Jr ningeenda kama kihuni ningeshindwa tena usije kurudia uhuni huu utakuta familia zingine zimevurugwa kuliko ww
 
Wewe ni Cockroach?
 
Aisee, we ni katili. Ivi ingekuwa ndo unafanyiwa ww ungejisikiaje?. Inaelekea ww ni mtu wa visasi na mzito wa kusamehe mtu. Usiwe ivyo na ivunje iyo roho.
 
Huo ni utashi wa mtoa mada
Ila nimeongelea hulka yako ya kujiona uko sawa na mwanaume kila kitu kasoro vikojoleo.
Nionyeshe ambapo nimejiona nipo sawa na mwanaume kwenye kila kitu.
Imani yangu haijanifundisha hivyo...

Ila kwa upande wa dhambi nitakemea bila kujali nani ameifanya.
Siwezi kusapoti uovu mkuu,iwe amefanya mwanaume ama mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa Miss
Twenzetu jukwaa la kimataifa tukasome habari za Gaza
 
Hakuna jambo baya kama kumdhalilisha binadamu mwenzio.. ni mbaya sana.. hii stori ukiisoma kwa utulivu mwanzo mpaka mwisho ni ngumu kuamini kama ni ya kweli..

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Hii imenikumvusha stori mbili za wadau wajf za muda mrefu kidogo

1.kuna mwamba alioa binti ,binti akapata nyumba za urithi ,akaanza piga mishe zake chini kwa chini bila kumshirikisha mwamba matokeo wahuni wakamwotea binti wakambaka na kumlawiti...baada ya hilo tukio jamaa akaanza taratibu za talka...kimbembe kikawa watu wakawa wanafosi jamaa amrudie binti na jamaa akakazaa..jamii nzima ikamwona jamaa katili sana

2.kuna mwamba alisalitiwa na binti aliemsomesha chuo,akamtafutia na kazi jamaa wakawa wanamlia kisela πŸ˜‚πŸ˜‚..aliposhtuka alipanga kisasi, yeye alimpa binti tour yakuzunguka mbuga nyingi za tz .walipokua huko akamconvise wafanye kinyume na maumbile mwezi mzima πŸ˜‚πŸ˜‚..ile wanarudi kabla binti hajaingia ndani mwamba akamfungashia kila kilicho chake nakumchana yote binti alikua anamfanyia..

Anaezikumbuka izo thread anitag wajameni
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…